malela.nc
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 261
- 350
Hiyo uhakika Mkuu, hakuna mwenye iyo alafu amekosa mrijaKumbe malela ulisema asee,hii SELECTED FOR ORAL IN RED ni UHAKIKA wakuu
Hiyo uhakika Mkuu, hakuna mwenye iyo alafu amekosa mrijaKumbe malela ulisema asee,hii SELECTED FOR ORAL IN RED ni UHAKIKA wakuu
Salimia watu Mkuu [emoji3]Hizo red mm siwahi kuona
Hongera sana mkuu, kila la kheri katika utumishi wakoMwenyezi Mungu ni mwema kila wakati. Haijalishi utasubiri kwa muda Gani lakini wakati wako ukifika umefika na hakika wakati wa Mungu ndio wakati sahihi. Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kufanikiwa kupata mrija wa asali ASA. Tulikuwa pamoja ndugu zangu wa JF kwenye harakati za ujobless lakini Leo hii Mola ameniinua. Tupo pamoja nami ntazidi kuwaombea na kuwaweka kwenye Sala daima hopefully kila mmoja wakati wake sahihi utafika na atapata mrija wa asali.
on status issues. Ilianza SELECTED FOR ORAL then SELECTED FOR NULL then SELECTED FOR PRACTICAL then finally SELECTED FOR ORAL....and this was for both Web and App.
Kikubwa uwemo mkekani ukapambane na hizo scale za kwenye taasisi husika.Duh kumbe selected for null ni muhim,japo naskia haipo tena sku hizi
Asante sana KakaMkubwa 🙏🙏Ukawe na safari njema mkuu.
Nahs hufatlii sana humu,juu kuna wadau wametoa ushuhudaStatus mbn inachanganya Selected red tena kivipi [emoji4] wangapi wamepta hii watume screen shot tuone
[emoji38][emoji38][emoji38], hakuna namna ukishindwa kuchagua unasubiria utumishi wakuchagulie kupitia databaseKwakwel maisha ni kuchagua
Spingi boss[emoji119]Hiyo uhakika Mkuu, hakuna mwenye iyo alafu amekosa mrija
Usijali mkuu, mambo mazuri hayataki harakaDaaah NiRC Sikubahatika subiri nione za TPDC itakuwaje, Hope naimani nitawepo [emoji120]
Itkua n uhakika,, status zina maanaNahs hufatlii sana humu,juu kuna wadau wametoa ushuhuda
Green ni rangi gani tena jaman status zitatuua uwiii red tena dah Baba Jen bye byeHuyu wa red me ndo naskia,bt wengi wao hapo juu waliopata wamesema ni green
[emoji38][emoji38][emoji38]Yaaaah ni sahihi, nimepokea sana humu na wengine wananipigia Simu na meseji kibao kunipongeza, Maana wanaliona jina kubwa limesimama kule kwenye mkeka..
Amen, hongera sana mkuu...huo ni mrija mpana maana huko kuna field visits za kutosha.*USHUHUDA *
Ni miongoni mwa watu ambao Mungu amewatendea...Nimepata kimrija cha TGS cha NIRC [emoji120]
Ni miongoni mwa watu waliokandwa sahili za nyuma ila Leo nimepata...hivyo naimani kila mmoja wetu humu atavuta mrija wake 1 day🫡
[emoji38][emoji38][emoji38], labda database huko ikiachiliwa tutapata ushuhuda.Mpaka sasa hakuna mwenye Status yenye "NOT aliyelamba Asali [emoji23][emoji23].
Mbna sion red
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], siyo poa aisee..hili game halihitaji hasiraWenye "SELECTED" tu hawapo sisi ni nani wenye "NOT [emoji23] labda waamue kuntunuku mrija na NOT yangu nije kuwachanganya humu.
Labda nina Color blindness 😀🤷♂️Mbna sion red
noo mimi nilipata wenge baada ya kufikia jina la 90 bdo nikawa siooni mfwende kwenye mkeka ,hawajafanya janja yoyote mkuu wangu.Post katika tangazo inahitaji watu 100, placement imetoa watu 90. Kazi ipo.
[emoji38][emoji38][emoji38], yule IT wa utumishi akiona text yako hii ataenda ku-change color code sasahv ili aendelee kuvuruga vijana.Mkuu ukiwa na nyekundu andaa nauli tu ya kwenda Dom. Hiyo uhakika usiguswe kama wale waliokua wanavaa lebo nyekundu tukiwa kayumba [emoji23]. Kuna jamaa angu wawili walikua na Red wote walamba asali..