britneyley
Member
- Feb 13, 2015
- 27
- 88
Ndio nashukuru Mungu niliitwa feb mkeka wa TRAWe tayar?
Ndio nashukuru Mungu niliitwa feb mkeka wa TRAWe tayar?
Nakubali kua red means sio salama,most people do. Ndomana me na wenzangu hapo juu hatukuamin mpaka alipoleta screenshot,and u can see,it wasnt even red[emoji849].Za kuambiwa na watu changanya na zako in Jakaya' voice.
Rangi Zina maana yake hata bila kuwa na tafsiri. Ukiona Red unajua hapa ni hatari.
Green=Pass
Hii ni Elimu nyepesi kabisa huhitaji kukaza fuvu.
[emoji849] hakuna kitu kama iyo mkuu, ukishakua na Not tu kwenye App jipange na Recieved inayofuataNtie mtakuja kuzimia na haya mastatus Kuna wengine kwenye app inasema not select for oral interview but kwenye web ni select for oral interview.Then ngoma kwenye pdf tunatokea ...
Mkuu umesahau kuwatagNajua Leo ni siku ya Furaha sana Kwa wenzetu waliokula shavu,hakika mmeanza weekend vizuri sana.Hongereni sana nyote,hakika tunapata faraja sana tunapoona mnakuja kutoa shuhuda,hii katika namna Moja au nyingine inaleta nguvu Kwa wapambanaji wengine hata ambao hajawahi fika oral,au pia wanasubiri PDF wakiamini Wakati ukifika kila kitu kitakuwa sawa.
Nawapa Hongera sana sana,Mungu ni mwema sana Wakati wote,kila Mmoja Kwa wakati wake atapata,tusikate tamaa siku zote.Tunapoomba Kwa Mungu tuwaombeee na wengine pia hata ambao hawana sehemu za kujishikiza wapate Ili wawe na nauli za kusafiri kwenda Usaili.Mungu wetu ni mwema sana,Kwa pamoja tutafika wapambanaji wenzangu...
Nb.Mimi Bado nasubiri placement la Taasisi za November-01/December 2022.
Aaaah we unaswim kbsa kwenye asali,hongera mnooooo,sie wengine mpaka tumegeuka mabint Sayun[emoji1787]mana si kwa maomb haya tunayopiga ili mkeka utiki.Ndio nashukuru Mungu niliitwa feb mkeka wa TRA
Brother bila shaka ulikua unasubiria placement 2 za taasisi moja au?Yaaaah nilikuwa na uhakika mkuu, maana niliwapelekea moto PSRS kwenye Written Hadi Oral.. kujiamini vijana ni kitu Cha msingi sana
Just imagine unawaaga wakandaji kwenye chumba wanatamani ubakie muendelee kujadili😁😁
Asante wanatoa mara tatutatu😂😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]"faamasiala" nn,kama tulivokubaliana tuombe sana mnyama NOT asitupitie.[emoji849] hakuna kitu kama iyo mkuu, ukishakua na Not tu kwenye App jipange na Recieved inayofuata
Hakuna noma ,maisha lazima yaendelee....[emoji849] hakuna kitu kama iyo mkuu, ukishakua na Not tu kwenye App jipange na Recieved inayofuata
Thats the spiritHakuna noma ,maisha lazima yaendelee....
Saivi umekua fundi wa kuchambua status 🤣🤣🤣.Nakubali kua red means sio salama,most people do. Ndomana me na wenzangu hapo juu hatukuamin mpaka alipoleta screenshot,and u can see,it wasnt even red.![]()
Ogopa sana red color na mwamba NOT![]()
![]()
![]()
Kaka kwenyee hii njia y moto lazima tupite pamoja na hatuna choice.28/November-December 01/2022.
Placements zilizopo njiani,muda wowote lolote linaweza kutokea kutoka PSRS...
TAEC,ARIMO, OUT,IAA, RUWASA,SUA,
TMC,MoCu
Wkingz najua pia Bado wasuburi hapa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nmeibia lonja kwako boss[emoji119][emoji119][emoji119]hatar sanaSaivi umekua fundi wa kuchambua status [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Hahhahh, ukizifahamu vizur hata pressure ya result utakuwa huna.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nmeibia lonja kwako boss[emoji119][emoji119][emoji119]hatar sana
Screeenshot zipo za kuthibitisha???Yeye alisema selected for oral ndio red
Na mie mwenyewe nina wasi wasi na hilo, kuna mdau mmoja alisema leo ni pdf la ASA na NiRC, imetokea vile vile huenda naye yumo ktk watu wa utumishi 😂hivi nyie ambao mnatabiri humu mfano mtu anasema kesho PDF la taasisi flani linatoka na linatoka kweli
anakuwa ni mtu wa PSRS yumo humu amehide jina au kuna wenzetu mna connection na watu wa PSRS hivyo mnazipata tu info au kuna sehemu Kwenye web ya PSRS huwa wanaonesha ili na sisi tuwe tunaenda kuona?????
😂😂😂😂 Sawa umekuwa addicted sana na huu uzi
AmiiinItoshe kusema February umekuwa mwezi wa Neema na matumaini kwa vijana wengi Mungu ajaalie na wengine wanao subiri placement waitwe
Mm kapresha bado kapo mana naskia hua zinachange af ndo kwanza sna mda mref tangu oral,na hapo had mkeka ushushwe ni miez labda 6 hivi.Hahhahh, ukizifahamu vizur hata pressure ya result utakuwa huna.
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema.*USHUHUDA *
Ni miongoni mwa watu ambao Mungu amewatendea...Nimepata kimrija cha TGS cha NIRC [emoji120]
Ni miongoni mwa watu waliokandwa sahili za nyuma ila Leo nimepata...hivyo naimani kila mmoja wetu humu atavuta mrija wake 1 day🫡