HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wadau nimekosa NIRC japo status mabadiliko yalitokea yale yale
From selected for Oral then Selected for Practical then selected for null then ikamalizia selected for oral ikarudi mpk now hyo n APP

Kwenye WEB mzigo umebaki Selected for oral

Ngoja ninywe maji kidogo nipumzike nijipange coz ni Received ya WCF kama ratiba zikikaa vzr nikatest ubongo tenaaaa kwenye written
the same 2me champ,wcf kutakua na nyomii balaa,whatsap tu tupo takribani 700
 
Nmeirudisha chap mkuu!
Nilikuwa mechanganyikiwa
Mjadala wa status juzi na jana ulkuw mkali mno......
Sasa naona leo lmeibuka lingine na la rangi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hadi PDF ya 28 Nov itoke tutakuwa tumesota mno
[emoji1][emoji1][emoji1],
 
Yeah basi inategemea na color settings za phone display na macho ya muhusika
Bhana weeee
Red ipo
Mm kuna ambayo nilishia tu written wameiweka in red colour kwenye app kwamb Not selected for oral interview
Ila ile ambayo nilitoboa written ipo green na imeandikwa Selected for oral interview

Hakuna cha colour blindness
 
Jaman ambiguity iliyopo ni status AFTER ORAL not BEFORE jmn[emoji2356].
Kwan ushaona tunabishana mambo za after written???
 
Back
Top Bottom