HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mimi binafsi katika kutoa shukrani yangu nimeamua kwanza kuja nyumbani kwa wazazi wangu ili niwashukuru wao physically then hapo sasa niende kanisani

Umefanya vyema sana mkuu,

"Charity begins at home" washukuru wazazi, ndugu na jamaa Kwa support yao pamoja na maombi yao kwako ili ufanikiwe.

Pia, kama utaweza tafuta kituo Cha watu wenge uhitaji maalumu kama vile Ophanage au sehemu ya kulea wazee. Peleka CHOCHOTE kulingana na uwezo wako.
 
Kwa week hii tumeshafunga Placement mliobahatika hakika Mungu ametenda Hongereni sana kwa kupata nafasi. Next week wadau wa vyuo sasa ni muda wenu... SUA, DUCE, MUHAS, UDSM etc mjiandae kucheka... Hakika vijana wa Mama Sekretarieti ya Ajira wanaupiga mwingi mno.
28/November-December 01/2022.
Placements zilizopo njiani,muda wowote lolote linaweza kutokea kutoka PSRS...
TAEC,ARIMO, OUT,IAA, RUWASA,SUA,
TMC,MoCu
Wkingz najua pia Bado wasuburi hapa
 
Wkingz najua pia Bado wasuburi
 
Najua Leo ni siku ya Furaha sana Kwa wenzetu waliokula shavu,hakika mmeanza weekend vizuri sana.Hongereni sana nyote,hakika tunapata faraja sana tunapoona mnakuja kutoa shuhuda,hii katika namna Moja au nyingine inaleta nguvu Kwa wapambanaji wengine hata ambao hajawahi fika oral,au pia wanasubiri PDF wakiamini Wakati ukifika kila kitu kitakuwa sawa.

Nawapa Hongera sana sana,Mungu ni mwema sana Wakati wote,kila Mmoja Kwa wakati wake atapata,tusikate tamaa siku zote.Tunapoomba Kwa Mungu tuwaombeee na wengine pia hata ambao hawana sehemu za kujishikiza wapate Ili wawe na nauli za kusafiri kwenda Usaili.Mungu wetu ni mwema sana,Kwa pamoja tutafika wapambanaji wenzangu...

Nb.Mimi Bado nasubiri placement la Taasisi za November-01/December 2022.
 
Back
Top Bottom