Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 2,003
- 3,614
Nimeona shuhuda za watu kama watatu hivi. Si unajua wengine muda mwingi ni wasomaji tuu wa comments basi, ku-comment ni nadra sana.vp mkeka wa leo,kapata mmoja tu au?? tupeni mirejesho wakuu
Nimeona shuhuda za watu kama watatu hivi. Si unajua wengine muda mwingi ni wasomaji tuu wa comments basi, ku-comment ni nadra sana.vp mkeka wa leo,kapata mmoja tu au?? tupeni mirejesho wakuu
Usijali mkuu, tuendelee kusubiri... Pole pia.Binafsi nilikuwa nasubiri kweny nafasi ya Agricultural Engineer Civil, kwenye mkeka sipo bt natumaini wakati wangu bado haujafika.App status, Selected for Oral.
Pole sana mkuu, usijali lakini
TRAMrija wako umefungukia wapi boi??
Aisee nami nishajiapiza kwamba ile nakuta kuna kufuata barua Dodoma naifuata halaf napitia hukohuko hadi home kwa wazazi then shukrani zingine zitaendelea tu mdo mdo...
Hongera sana mkuu, nadhani wewe utakuwa mtu wa nne kulamba asali kwenye pdf la leo.Habari wanajamvi,kwanza ni nimshukuru muumba kwa kunijalia kua miongoni wa walamba asali(NIRC),wakati wake ndo wakati sahihi,pia niwashukuru members wa hii thread.
Ahsante.
Kuna vitu vingi sana vya kujifunza kwenye huu uzi sio mwenyeji sana ila kuna hawa watu Mwifwa na @yunklee jinsi wanavyokuwa na furaha wengine wakipata asali hakika tujifunze kufurahi wenzetu wakipata ata km wewe bado ujiongezea baraka kwa MunguFinally, we are flying together!
Hongera sana mwamba! Mtumishi mpya in Town!
Hongera sana mkuu, mshukuru Mungu kwa hicho alichokupa sasa uendelee mbele. Kongole sana kwako.Na mimi nimepata kazi leo Nirc nashukuru Mungu. Japo nilikua nasubiria zaidi mkeka wa tpdc maana naskia asali ni niyingi ila moyo ushakata tamaa baada ya kusoma humu nikaona wadau wanasema hamna multiple palcement. Wale wa status ilianza selected for selected for practical kwenda selected for null na sasa hivi inasoma selected for oral.
Pamoja MkuuUsijali mkuu, tuendelee kusubiri... Pole pia.
Sana kaka unaambiwa toka nimekuja nimetumia muda mwingi kula na kulala. Wenyewe wananiambia msoto niliopitia nahitaji kula sana kurudisha mwili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lakini Bora umefika kaka na umepokea baraka zao
Hongereni sanaaaaHongera sana mwamba.. Tushalamba Asali kwenye Serikali ya Mama wetu..
Nilishakwambia wadau kuwa Leo ASA na NIRC lazima kitu kiteme na kweli yametokea na bahati nzuri tumo ndani
Tusikate tamaa mkuu, mwezi bado umebakisha siku kadhaa.Borea utumishi wangekua wanatoa matokeo ya oral. Watu tujue kuliko kukaa na stress na hopes kibao huku ukiwazia PDF la database
Asa sijui watalitoa lini na mwez imeisha hvy
Ukawe na safari njema mkuu.Weekend hii naingia Dom kufuata jasho langu(barua) nililolipambania
Eeh RED imetokea wapi tena jamani. Inaonekana hii ni mpya, ingetumika kwetu hii wengi tungelala yooKumbe malela ulisema asee,hii SELECTED FOR ORAL IN RED ni UHAKIKA wakuu
Tupe udambo udambo briefly wa kujihakikishia ushindi kwenye oral interviewYaaaah nilikuwa na uhakika mkuu, maana niliwapelekea moto PSRS kwenye Written Hadi Oral.. kujiamini vijana ni kitu Cha msingi sana
Just imagine unawaaga wakandaji kwenye chumba wanatamani ubakie muendelee kujadili😁😁
Asante wanatoa mara tatutatu😂😂
Rangi ni green au red?Ukawe na safari njema mkuu.
Ni kweli kabisa, kila jambo na wakati wake.Hongereni wote mliobahatika, na kwa ambao bado msiache kusherehekea mafanikio ya wengine kwani na yenu yako njiani.
Kama imewezekana kwa hawa, kwa nini na kwako isiwezekane?
Status mbn inachanganya Selected red tena kivipi [emoji4] wangapi wamepta hii watume screen shot tuoneRangi ni green au red?