Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Kuwepo database sio guarantee huenda ulifeli pia...kwa hiyo ni matumaini tu ya mungu uwepounajuaje upo data base...hapo ni swala la Kuzidi maombi jina lako liwepo kama ulifanya oral!!!!
Kuwepo database sio guarantee huenda ulifeli pia...kwa hiyo ni matumaini tu ya mungu uwepounajuaje upo data base...hapo ni swala la Kuzidi maombi jina lako liwepo kama ulifanya oral!!!!
chamani etiiHongereni mno mliolamba Asali leo Mungu awatangulieni katika majukumu yenu mapya serekalini,,,Mliokosa karibuni chamani kusubiri Database pia kila placement msiache kuchungulia chungulia
unafahamu ukiwa data base zaidi ya mwaka unakuwa out of systemKuwepo database sio guarantee huenda ulifeli pia...kwa hiyo ni matumaini tu ya mungu uwepo
Nadhani TRA wanaweza kuongeza watu ndo maana hata kureport wameambiwa watapigiwa simu tofauti na mwaka jana ambapo barua ilikuwa inajieleza kila kitu
Uko sahihi mkuu
- kutokana na CPA na Accounts officers kuwa wengi ndiyo maana wengi wananufaika kutokana na wingi wao.
- kuhusu Posho Kwa Sasa ni sh 250,000/- Kwa daraja la juu na 100,000/- Kwa daraja la chini.
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwemaHabari wanajamvi,kwanza ni nimshukuru muumba kwa kunijalia kua miongoni wa walamba asali(NIRC),wakati wake ndo wakati sahihi,pia niwashukuru members wa hii thread.
Ahsante.
Hongera sana mkuu.Na mimi nimepata kazi leo Nirc nashukuru Mungu. Japo nilikua nasubiria zaidi mkeka wa tpdc maana naskia asali ni niyingi ila moyo ushakata tamaa baada ya kusoma humu nikaona wadau wanasema hamna multiple palcement. Wale wa status ilianza selected for selected for practical kwenda selected for null na sasa hivi inasoma selected for oral.
Hongera mkuu ukawe mtumishi MwemA nimefurahi pia kusikia tupo TAASISI mojaMwenyezi Mungu ni mwema kila wakati. Haijalishi utasubiri kwa muda Gani lakini wakati wako ukifika umefika na hakika wakati wa Mungu ndio wakati sahihi. Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kufanikiwa kupata mrija wa asali ASA. Tulikuwa pamoja ndugu zangu wa JF kwenye harakati za ujobless lakini Leo hii Mola ameniinua. Tupo pamoja nami ntazidi kuwaombea na kuwaweka kwenye Sala daima hopefully kila mmoja wakati wake sahihi utafika na atapata mrija wa asali.
on status issues. Ilianza SELECTED FOR ORAL then SELECTED FOR NULL then SELECTED FOR PRACTICAL then finally SELECTED FOR ORAL....and this was for both Web and App.
Asante sana mkuu,, mazaga one kanistua kweli yaan nimepakuwa chap na kukuta jina langu.
Duuuh Leo ni siku njema sana kwangu..
Asante Mungu🙏🙏🙏
Duh kumbe selected for null ni muhim,japo naskia haipo tena sku hiziMwenyezi Mungu ni mwema kila wakati. Haijalishi utasubiri kwa muda Gani lakini wakati wako ukifika umefika na hakika wakati wa Mungu ndio wakati sahihi. Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kufanikiwa kupata mrija wa asali ASA. Tulikuwa pamoja ndugu zangu wa JF kwenye harakati za ujobless lakini Leo hii Mola ameniinua. Tupo pamoja nami ntazidi kuwaombea na kuwaweka kwenye Sala daima hopefully kila mmoja wakati wake sahihi utafika na atapata mrija wa asali.
on status issues. Ilianza SELECTED FOR ORAL then SELECTED FOR NULL then SELECTED FOR PRACTICAL then finally SELECTED FOR ORAL....and this was for both Web and App.
Usijal kaka wakati wako utafika, nasi tunazid kukuombea mambo yafunguke ulambe asali.Dah ! Hongereni Wanasheria ,wachumi na agronomist mmefaidi Sana hii miaka miwili 2022-2023 mazee ,sisi course nyingine ,Mihayo tu .
Maza na sisi atuone aisee
Kila la kheri mkuu!Mwenyezi Mungu ni mwema kila wakati. Haijalishi utasubiri kwa muda Gani lakini wakati wako ukifika umefika na hakika wakati wa Mungu ndio wakati sahihi. Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kufanikiwa kupata mrija wa asali ASA. Tulikuwa pamoja ndugu zangu wa JF kwenye harakati za ujobless lakini Leo hii Mola ameniinua. Tupo pamoja nami ntazidi kuwaombea na kuwaweka kwenye Sala daima hopefully kila mmoja wakati wake sahihi utafika na atapata mrija wa asali.
on status issues. Ilianza SELECTED FOR ORAL then SELECTED FOR NULL then SELECTED FOR PRACTICAL then finally SELECTED FOR ORAL....and this was for both Web and App.
Usijali mkuu naamini keka la database litaleta fraha kwa wengiDah ! Hongereni Wanasheria ,wachumi na agronomist mmefaidi Sana hii miaka miwili 2022-2023 mazee pdf Pana za mtu 500 mmezipata sana ,sisi course nyingine ,Mihayo tu .
Maza na sisi atuone aisee
mashirika ya umma yakiyumba hadi watumishi wanayumba mfano TRC enzi hizo wanaitwa RAHCO kuna wakati ilikua haipumui unadhan pale wangapi waliacha kazi kwa hiariHuo uwiano Either Kumpandisha 1 Alingane na mwingine au Kumshusha Haiwezekan.
Mshahara Kushuka Ni Ngumu Haipo Labda Posho Au Kupunguza Wafanyakazi.
Kupandisha Pia Ili Wote Walingane n ngumu hata Kwa Taasisi Zinazofanya kazi 1 Kwa kada 1 Ila Upo Utofauti Kulingana na Makusanyo Yao Kwa kila taasisi.
Magu Alijaribu Kulinganisha Taasisi Fulan Hapo Maliasili Inaitwa Tawa.
Ili Iende sawa na Tanapa,Ngorongoro,Tfs
Alishindwa Wamekuja Kuongezewa Juzi Tena laki 1.
Tfs Aliongezewa Kama lak 2.Sababu Alikuwa na point kwamba wakati wa COVID yy ndo Alibeba Wizara sababu hategemei Watalii Yeye ni Mkaa Na Mbao.
(Wanapishana mishahara Sababu Wanakusany kdg Kuliko Hao Wenzao).
Kwa level 1 Ya Kuingia Kazini.
Tanapa Hawakupunguza watu Tanapa Hawezi Kupunguza wafanyakazi wenye Permanent Employment Labda unaongelea Vibarua au Hao Private Company zinazofanya Kazi Na Maalaka kama tanapa mfano madereva,Waongoza watalii na Wapishi wa Private Company ambazo Hazina Uhuisiano Na Serikal(Tanapa).
Tanapa Yy Anajiira Askari Kwa wingi na Kada Nyingine kwa Uchache sanaaa.
Kilichotokea wakati wa Covid 19 Ni Kwamba Mashirika Ya Wizara ya Maliasili Yanayohusika Na uhifadhi Tanapa,Ngorongoro,Tawa Na Tfs Walikuwa na utaratibu wa kukusanya mapato wenywe na Kujigharamia Kila K2 kwny Bajeti zao Zilizopitishwa Na Bunge Na Pia Ilionakana kuna Upigaji Flani.
So Serikali Ikamua Mapato yote yaende TRA Na Hayo Mashirika Yatakuwa Yanalipwa na Hazina Na Maslai Yao Yatabaki Vile Vile.
Hapo ndo Ilikuwa kisanga Kwa Vibarua na Wale wenye ndugu ambao walikuwa wanakula asali na Hazina Haiwatambui.
Labda ww ndo unasema walifukuzwa au kupunguzwa ila sio mwajiriwa mweny cheque no.
Pamoja mkuu ,Ngoja tuoneUsijali mkuu naamini keka la database litaleta fraha kwa wengi
Baada ya miaka 10[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Kwakwel maisha ni kuchaguaNdio, tena ni zaidi ya miaka 10. Yeye ana bahati aliajiliwa ualimu akiwa na miaka 22 enzi zile baada ya pen down tu unapewa barua ya kazi.
Na bahati nyingine kwake masomo anayofundisha kipindi hcho shule zpo mijini tu. Hapo ndio baada ya kufanya kama miaka 3 akasikia hyo gap ya halmashauri akahamia huko.
Zaidi ya miaka 10 amekomaa na Halmashauri na mwaka Jana mwezi wa 12 ndio amefanikiwa kupata kwenye Bodi.
Aaah sawaIlyoongelewa ni datanase ya waliofaulu usaili mzee