HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mwenyezi Mungu ni mwema kila wakati. Haijalishi utasubiri kwa muda Gani lakini wakati wako ukifika umefika na hakika wakati wa Mungu ndio wakati sahihi. Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kufanikiwa kupata mrija wa asali ASA. Tulikuwa pamoja ndugu zangu wa JF kwenye harakati za ujobless lakini Leo hii Mola ameniinua. Tupo pamoja nami ntazidi kuwaombea na kuwaweka kwenye Sala daima hopefully kila mmoja wakati wake sahihi utafika na atapata mrija wa asali.

on status issues. Ilianza SELECTED FOR ORAL then SELECTED FOR NULL then SELECTED FOR PRACTICAL then finally SELECTED FOR ORAL....and this was for both Web and App.
Hongera mkuu tuku nyuma yenu tunaamini inawezekana.

Vp hamkua na connection uko juu?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hongera sana mkuu,

Hakika Leo ni siku njema kabisa kwako, nimefatilia comments kabla ya mzigo kuwekwa ulitabiri itakuwa weekend nzuri kwenu.

Yaani ulikuwa na uhakika kuwa umo Kwa pdf😄😄😄😄
Yaaaah nilikuwa na uhakika mkuu, maana niliwapelekea moto PSRS kwenye Written Hadi Oral.. kujiamini vijana ni kitu Cha msingi sana
Just imagine unawaaga wakandaji kwenye chumba wanatamani ubakie muendelee kujadili😁😁
Asante wanatoa mara tatutatu😂😂
 
Sasa mgeni rasmi chukua siti ukae.
 
Habari wanajamvi,kwanza ni nimshukuru muumba kwa kunijalia kua miongoni wa walamba asali(NIRC),wakati wake ndo wakati sahihi,pia niwashukuru members wa hii thread.

Ahsante.

Hongera sana mkuu,

Kumbuka kutoa shukurani Kwa hatua hii muhimu katika maisha yako. Na pia jipongeze Kwa hayo mafanikio kwani hii ni siku muhimu sana kwako.

Mwisho, ukawe mtumishi mwenye Hekima, Juhudi pamoja na kufata Màadili pamoja na taratibu na kanuni za kazi yako.
 
*USHUHUDA *
Ni miongoni mwa watu ambao Mungu amewatendea...Nimepata kimrija cha TGS cha NIRC 🙏
Ni miongoni mwa watu waliokandwa sahili za nyuma ila Leo nimepata...hivyo naimani kila mmoja wetu humu atavuta mrija wake 1 day🫡
 
Mwenyezi Mungu ni mwema kila wakati. Haijalishi utasubiri kwa muda Gani lakini wakati wako ukifika umefika na hakika wakati wa Mungu ndio wakati sahihi. Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kufanikiwa kupata mrija wa asali ASA. Tulikuwa pamoja ndugu zangu wa JF kwenye harakati za ujobless lakini Leo hii Mola ameniinua. Tupo pamoja nami ntazidi kuwaombea na kuwaweka kwenye Sala daima hopefully kila mmoja wakati wake sahihi utafika na atapata mrija wa asali.

on status issues. Ilianza SELECTED FOR ORAL then SELECTED FOR NULL then SELECTED FOR PRACTICAL then finally SELECTED FOR ORAL....and this was for both Web and App.
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema.

Kila la kheri!
 
Na mimi nimepata kazi leo Nirc nashukuru Mungu. Japo nilikua nasubiria zaidi mkeka wa tpdc maana naskia asali ni niyingi ila moyo ushakata tamaa baada ya kusoma humu nikaona wadau wanasema hamna multiple palcement. Wale wa status ilianza selected for selected for practical kwenda selected for null na sasa hivi inasoma selected for oral.

Hongera sana mkuu,

Kumbuka kutoa shukurani Kwa hatua hii muhimu ktk maisha yako na pia pata muda wa kujipongeza Kwa mafanikio hayo.

Mwisho, nenda kapige kazi mkuu. Acha magumashi kazini na zingatia màadili, taratibu na kanuni za kazi yako.
 
*USHUHUDA *
Ni miongoni mwa watu ambao Mungu amewatendea...Nimepata kimrija cha TGS cha NIRC [emoji120]
Ni miongoni mwa watu waliokandwa sahili za nyuma ila Leo nimepata...hivyo naimani kila mmoja wetu humu atavuta mrija wake 1 day🫡
Dah mkuu hongera sana,status ilisomaje huko[emoji13]hili muhim
 
Back
Top Bottom