HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
NIRC agro officer, ilikua na post 100, nilivo scrow mpaka majina 90 sioni jina langu,jasho likaanga tiririka mgongoni. haloo pdf ya utumishi nikitu kingine kabisaa.ukitusua shukuru mana kitaa kinapausha balaa, nipo namenya chungwa juani hapa manyoni
Rejea nilichoandika kule juu unapokuwa unalitafuta jina lako
Kwanza hata kutype waga ni shida
 
Wadau swala la status ntaleta mrejesho maana kwangu imebadilika from SELECTED FOR ORAL to NOT SELECTED FOR Oral. Kama ntakosa means kweli. Na kuna jamaa angu yeye still ipo SELECTED FOR ORAL lakini ya rangi Nyekundu. Hapa ndipo hawa jamaa wa Sekretarieti ya Ajira ndipo wanapotuvuruga

NB. Kwenye Written mimi ndio nliongoza na huyo jamaa yangu alikuwa wa Mwisho katika tuliokuwa Selected.
Kumbe malela ulisema asee,hii SELECTED FOR ORAL IN RED ni UHAKIKA wakuu
 
NIRC agro officer, ilikua na post 100, nilivo scrow mpaka majina 90 sioni jina langu,jasho likaanga tiririka mgongoni. haloo pdf ya utumishi nikitu kingine kabisaa.ukitusua shukuru mana kitaa kinapausha balaa, nipo namenya chungwa juani hapa manyoni
Post katika tangazo inahitaji watu 100, placement imetoa watu 90. Kazi ipo.
 
Kila mtu na expectations zake mkuu, Kuna wengine wapo kwny hayo mashirika na wenyew wanaona miyeyusho.

Muhimu pesa ya nyama kilo na ndizi mbili vinapatikana ukiwa maeneo plus kitu ya baridiii mengine yatajiset mbele[emoji38][emoji38][emoji38]
Ni kweli mkuu...
 
Back
Top Bottom