Sonam96
Member
- Jan 29, 2019
- 45
- 155
Am happy for u mtumishi wa ummaAsanteni sana jamani.. Mimi sio jobless tena.. lilikuwa ni Suala la muda tu nimelamba Asali Tayari ASA
Am happy for u mtumishi wa ummaAsanteni sana jamani.. Mimi sio jobless tena.. lilikuwa ni Suala la muda tu nimelamba Asali Tayari ASA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], daaa kama hapo kuna mwamba ndo ameshawakata watu moto kwamba anapambana eti atoke shimoni....nimebaki kujiuliza kuna nini huko aisee?
Binafsi nilikuwa nasubiri kweny nafasi ya Agricultural Engineer Civil, kwenye mkeka sipo bt natumaini wakati wangu bado haujafika.App status, Selected for Oral.vp mkeka wa leo,kapata mmoja tu au?? tupeni mirejesho wakuu
mlikua na prac ?Binafsi nilikuwa nasubiri kweny nafasi ya Agricultural Engineer Civil, kwenye mkeka sipo bt natumaini wakati wangu bado haujafika.App status, Selected for Oral.
Hongera na kawe mtumishi mwema.Habari wanajamvi,kwanza ni nimshukuru muumba kwa kunijalia kua miongoni wa walamba asali(NIRC),wakati wake ndo wakati sahihi,pia niwashukuru members wa hii thread.
Ahsante.
Asante mkuu 🙏🙏Am happy for u mtumishi wa umma
Written to Oralmlikua na prac ?
hongera sana kiongozi taifa linakutegemea sana na linakuhitaji kawe mtumishi mwemaHabari wanajamvi,kwanza ni nimshukuru muumba kwa kunijalia kua miongoni wa walamba asali(NIRC),wakati wake ndo wakati sahihi,pia niwashukuru members wa hii thread.
Ahsante.
Hongera pia mkuuNa mimi nimepata kazi leo Nirc nashukuru Mungu. Japo nilikua nasubiria zaidi mkeka wa tpdc maana naskia asali ni niyingi ila moyo ushakata tamaa baada ya kusoma humu nikaona wadau wanasema hamna multiple palcement. Wale wa status ilianza selected for selected for practical kwenda selected for null na sasa hivi inasoma selected for oral.
Hongera sana mkuuNa mimi nimepata kazi leo Nirc nashukuru Mungu. Japo nilikua nasubiria zaidi mkeka wa tpdc maana naskia asali ni niyingi ila moyo ushakata tamaa baada ya kusoma humu nikaona wadau wanasema hamna multiple palcement. Wale wa status ilianza selected for selected for practical kwenda selected for null na sasa hivi inasoma selected for oral.
Woyoooooo,hongera sana bossHabari wanajamvi,kwanza ni nimshukuru muumba kwa kunijalia kua miongoni wa walamba asali(NIRC),wakati wake ndo wakati sahihi,pia niwashukuru members wa hii thread.
Ahsante.
Hongera sana mwamba.Hakika Wakati wa Mungu ndio Wakati Sahihi.Habari wanajamvi,kwanza ni nimshukuru muumba kwa kunijalia kua miongoni wa walamba asali(NIRC),wakati wake ndo wakati sahihi,pia niwashukuru members wa hii thread.
Ahsante.
Hongera sana mwamba.. Tushalamba Asali kwenye Serikali ya Mama wetu..Na mimi nimepata kazi leo Nirc nashukuru Mungu. Japo nilikua nasubiria zaidi mkeka wa tpdc maana naskia asali ni niyingi ila moyo ushakata tamaa baada ya kusoma humu nikaona wadau wanasema hamna multiple palcement. Wale wa status ilianza selected for selected for practical kwenda selected for null na sasa hivi inasoma selected for oral.
Hongera sana mwamba.Hakika Wakati wa Mungu ndio Wakati Sahihi.Na mimi nimepata kazi leo Nirc nashukuru Mungu. Japo nilikua nasubiria zaidi mkeka wa tpdc maana naskia asali ni niyingi ila moyo ushakata tamaa baada ya kusoma humu nikaona wadau wanasema hamna multiple palcement. Wale wa status ilianza selected for selected for practical kwenda selected for null na sasa hivi inasoma selected for oral.
Multiple placement Sasa itakuwa ngumu sana.Kwa maana waliokuwa wa Mwisho kufanya usaili wanatoka.Ina maana hata kama ulipata TPDC Kuna mtu tayari watamuweka kutoka Database au wa chini yako,kutokana na mlivyofanya usaili....Na mimi nimepata kazi leo Nirc nashukuru Mungu. Japo nilikua nasubiria zaidi mkeka wa tpdc maana naskia asali ni niyingi ila moyo ushakata tamaa baada ya kusoma humu nikaona wadau wanasema hamna multiple palcement. Wale wa status ilianza selected for selected for practical kwenda selected for null na sasa hivi inasoma selected for oral.
💥💥💥💥💥💥 Andaa suti ya kwenda kuchukulia Barua...Hongera sana mwamba.. Tushalamba Asali kwenye Serikali ya Mama wetu..
Nilishakwambia wadau kuwa Leo ASA na NIRC lazima kitu kiteme na kweli yametokea na bahati nzuri tumo ndani