HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hapo tunapata funzo kuwa, tupambane kwa Option zote kwa kuwa hatujui wapi mambo yatatiki.

Pengine asinge-ignore sahili za Halmashauri huenda angepata nafasi kwenye taasisi kupitia hiyo database.

Hata hivyo apige kazi then baadae aje afanye utaratibu wa kuhamia kwenye taasisi
Binafsi sijawahi kuomba kazi za halmashauri, ukiacha hizi za MDA na LGA. Nilikuwa naamini katika kuomba kile nnachopenda na si kile kinachopatikana japo pia nilikuwa tayari kwa kile ambacho Mungu angeona kinanifaa
 
Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.
 
Hapo kwenye bold ndo kuna SELECTED/NOT SELECTED
 
Hapo tunapata funzo kuwa, tupambane kwa Option zote kwa kuwa hatujui wapi mambo yatatiki.

Pengine asinge-ignore sahili za Halmashauri huenda angepata nafasi kwenye taasisi kupitia hiyo database.

Hata hivyo apige kazi then baadae aje afanye utaratibu wa kuhamia kwenye taasisi
iviii watu wote wakiwa wanahama halmshauri na kukimbilia taasisi zingine huko halmashaur ufanisi wake utaimarika kweli???
 
Binafsi sijawahi kuomba kazi za halmashauri, ukiacha hizi za MDA na LGA. Nilikuwa naamini katika kuomba kile nnachopenda na si kile kinachopatikana japo pia nilikuwa tayari kwa kile ambacho Mungu angeona kinanifaa
Sawa mkuu
 
Hv za halmashaur ndo zile katibu sjui etc? Zle ni mwa waliosoma community development tu eeh???
 
Back
Top Bottom