HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kuna wenye nyekundu jaman kwenye app....selected for oral interview??[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
*USHUHUDA *
Ni miongoni mwa watu ambao Mungu amewatendea...Nimepata kimrija cha TGS cha NIRC 🙏
Ni miongoni mwa watu waliokandwa sahili za nyuma ila Leo nimepata...hivyo naimani kila mmoja wetu humu atavuta mrija wake 1 day🫡

Hongera sana mkuu,

Kumbuka kutoa shukurani Kwa mafanikio hayo uliyopata, na pia jipongeze Kwa jitihada ulizoweka hadi kufanikiwa kutimiza ndogo yako.

Nakutakia Kila lenye kheri katika majukumu yako mapya ya Utumishi wa umma. Zingatia sana màadili, taratibu na kanuni zilizowekwa ktk kazi yako.
 
Hivi kwanini mnafuta App?, yaan kama Mungu amepanga upate hiyo kazi utapata tu mkuu
Nmeirudisha chap mkuu!
Nilikuwa mechanganyikiwa
Mjadala wa status juzi na jana ulkuw mkali mno......
Sasa naona leo lmeibuka lingine na la rangi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hadi PDF ya 28 Nov itoke tutakuwa tumesota mno
 
Hongera sana mkuu,

Kumbuka kutoa shukurani Kwa mafanikio hayo uliyopata, na pia jipongeze Kwa jitihada ulizoweka hadi kufanikiwa kutimiza ndogo yako.

Nakutakia Kila lenye kheri katika majukumu yako mapya ya Utumishi wa umma. Zingatia sana màadili, taratibu na kanuni zilizowekwa ktk kazi yako.
Ndugu yangu hongera sana, una imani kubwa sana juu dini yako. Nimekufuatilia naona kila unayempongeza unamhimiza akatoe shukrani kwa mafanikio waliyopata. Kama bado hujapata mrija wa asali nakuombea na wewe ukapate ili maneno yako ukayatimize kwa vitendo
 
Nmeirudisha chap mkuu!
Nilikuwa mechanganyikiwa
Mjadala wa status juzi na jana ulkuw mkali mno......
Sasa naona leo lmeibuka lingine na la rangi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hadi PDF ya 28 Nov itoke tutakuwa tumesota mno
[emoji23][emoji23] usifute, we Muombe tu Mungu, wewe tayari ulishamaliza jukumu lako mengine unamuachia Mungu kaka.
 
Hongera sana mkuu,

Kumbuka kutoa shukurani Kwa mafanikio hayo uliyopata, na pia jipongeze Kwa jitihada ulizoweka hadi kufanikiwa kutimiza ndogo yako.

Nakutakia Kila lenye kheri katika majukumu yako mapya ya Utumishi wa umma. Zingatia sana màadili, taratibu na kanuni zilizowekwa ktk kazi yako.
Mimi binafsi katika kutoa shukrani yangu nimeamua kwanza kuja nyumbani kwa wazazi wangu ili niwashukuru wao physically then hapo sasa niende kanisani
 
Mrija wako umefungukia wapi boi??
Aisee nami nishajiapiza kwamba ile nakuta kuna kufuata barua Dodoma naifuata halaf napitia hukohuko hadi home kwa wazazi then shukrani zingine zitaendelea tu mdo mdo...
 
Back
Top Bottom