HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Asante[emoji120]
Status:
Kwasasa inasoma SELECTED FOR Oral interview kote App na Web
Kwenye App neno lina rangi ya kijani
Kwenye Web neno lina rangi nyekundu
Ila kama wengi ilipitia Null ----Practical
Mkuu ukiwa na nyekundu andaa nauli tu ya kwenda Dom. Hiyo uhakika usiguswe kama wale waliokua wanavaa lebo nyekundu tukiwa kayumba [emoji23]. Kuna jamaa angu wawili walikua na Red wote walamba asali..
 
Ndege mmoja alie mkononi ni heri kuliko wengi walio msituni. Anza Kwa nafasi unayoona Kuna uwezekano wa kupata then huko utaanza kupambana polepole kuingia kwenye hayo mashirika.

Nina kaka angu aliajiliwa kama Mwl wa secondari kwa masomo ya biashara. Baada ya muda akaomba kuamia Halmashauri kama Afisa hesabu kwa sababu palikuwa na uhaba huo akapata. Amefanya kazi Kwa zaid ya miaka kumi huku akiendelea kusoma na kuomba kazi ktk taasisi na mashirika ili aweze kuhamia.

Mwaka Jana mwezi wa kumi na mbili amepata barua ya kuitwa kazini ktk Bodi Fulani. Na sasa anaenjoy salary nzuri na posho pia fresh.

NB: Vijana tubadilike, tusidharau mshahara wa Serikali wkt wengi bado ni tegemezi. Wengi mnaoona wapo sehemu nzuri Kwa sasa hawakuanzia hapo. Ukifanikiwa kupata kazi kwanza ipende, jitume na ufanye Kwa umakini wako wote hicho ndio kitafungua milango yako unayotaka.
Maneno ya HEKIMA sana haya.
 
Mkuu ukiwa na nyekundu andaa nauli tu ya kwenda Dom. Hiyo uhakika usiguswe kama wale waliokua wanavaa lebo nyekundu tukiwa kayumba [emoji23]. Kuna jamaa angu wawili walikua na Red wote walamba asali..
Kuuuumbeeeeee,alooooo
 
Mkuu ukiwa na nyekundu andaa nauli tu ya kwenda Dom. Hiyo uhakika usiguswe kama wale waliokua wanavaa lebo nyekundu tukiwa kayumba [emoji23]. Kuna jamaa angu wawili walikua na Red wote walamba asali..
Wacha nisubrie labda ntaona red mbelen[emoji16]
 
Mwenyezi Mungu ni mwema kila wakati. Haijalishi utasubiri kwa muda Gani lakini wakati wako ukifika umefika na hakika wakati wa Mungu ndio wakati sahihi. Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kufanikiwa kupata mrija wa asali ASA. Tulikuwa pamoja ndugu zangu wa JF kwenye harakati za ujobless lakini Leo hii Mola ameniinua. Tupo pamoja nami ntazidi kuwaombea na kuwaweka kwenye Sala daima hopefully kila mmoja wakati wake sahihi utafika na atapata mrija wa asali.

on status issues. Ilianza SELECTED FOR ORAL then SELECTED FOR NULL then SELECTED FOR PRACTICAL then finally SELECTED FOR ORAL....and this was for both Web and App.

Hongera sna mkuu,

Kumbuka kutoa shukurani Kwa nafasi hyo adhimu ulyoipata Kwani haikuwa kitu rahisi. Pia jipongeze mkuu Kwa kile kinachokupa Raha ili iwe kumbukumbu nzuri ktk maisha yako.

Mwisho, Nakutakia ukawe mtumishi mwenye kufata mĂ adili ya kazi yako.
 
Mkuu ukiwa na nyekundu andaa nauli tu ya kwenda Dom. Hiyo uhakika usiguswe kama wale waliokua wanavaa lebo nyekundu tukiwa kayumba [emoji23]. Kuna jamaa angu wawili walikua na Red wote walamba asali..
Nyekundu si inakuwa kwenye app??
Usinifanye niidownload tena maana nishaifuta nione kama ni red[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom