billionea alpha
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,496
- 1,757
Hahahahaha!Haya mastatus ni balaa aisee...SELECTED FOR ORAL
Hahahahaha!Haya mastatus ni balaa aisee...SELECTED FOR ORAL
Eee miaka 10 si mtu kama umefungua biashara ishakua na vibranch vake kabisaSasa Mama unataka miaka mitatu tu umehama[emoji28]
Haikuwah kubadlika?SELECTED FOR ORAL
Asante sana Mkuu🙏🙏, ❤️❤️❤️ daimaHongera sana kaka,
Kumbuka kutoa shukurani zako Kwa hatua hii muhimu ktk maisha yako. Pia pata muda wa kujipongeza mkuu, kwani haikuwa rahisi kufika hapo.
Mwisho, nakutakia majukumu MEMA ktk Taasisi yako, ukawe mtumishi mwema wa kufuata misingi, taratibu pamoja na màadili ya kazi.❤️❤️❤️
Sijajipa Mamlaka kaka.Kuna watu wanasubiria PDF lolote na ikiwemo kupata kutoka Database,na kila PDF wanafungua kuona kama wapo,ila yeye kusema Hakuna,ni kama anawakatisha tamaa wenzetu waliokwishafanya saili na PDF zao zishatoka na matumaini Yao yakiwa kwenye Database......Acha kujipa mamlaka kiasi hiko, ametoa maoni yake kwa viashiria vyake anavyoviona yeye. Na kwa maoni ya kutia moyo ndo unakua unafahamu kinachoendelea?
Ujobless una isha baada ya kupokea mshahara wa kwanza lakini hongera sanaAsanteni sana jamani.. Mimi sio jobless tena.. lilikuwa ni Suala la muda tu nimelamba Asali Tayari ASA
Wakati wako unakujaHongera sana mliopata,
Binafsi nilikua matumaini moja la NIRC lakini wakati wa Mungu bado, hapa saizi ni mwendo wa kusubiri bajeti ijayo.
Hongereni sana tena mliopata.
Haya maelezo hayana tofauti na maelezo yangu(uliyo qoute).
Wahasibu(CPA T) wapo vitengo vingi.
Vitengo hivyo havifanani majukumu.
Kutofanana majukumu ndio kunafanya kutofautiane kuhusu kwenda field, kuna vitengo vina field nyingi, vingine vina field chache.
Allowance ni kutokana na muda unaoenda na kuutumia Field. Ukitumia muda mrefu utapata allowance ya muda wote huo, pia ukitumia muda mfupi utapata kulingana na huo muda.
Hitimisho:
Allowance inategemeana na muda unaotumika kwa field, kama hujaenda huipati hiyo allowance, kuhusu perdiem UTUMISHI walishatoa muongozo kwa waajiri wote kuhusu hilo ambapo linazingatia scale za mishahara.
Sawa mkuuUjobless una isha baada ya kupokea mshahara wa kwanza lakini hongera sana
- dah lakini kweliii!wewe ni mtu negative sana kwa wenzio, roho ya kwanini imekujaa. jealous na ego haisaidii kitu katika utafutaji.badilika mzee
hapana mkuuUtakuwa utumishi wewe sio bure😂
Haikuwahi badilika,Haikuwah kubadlika?
Hongera kakaOyoookh nimelamba Asali ASA
Mwaka jana walikuwa wengi sana kureport HQ pale, ingekuwa ni usumbufu tofauti na walioitwa awamu hii,Nadhani TRA wanaweza kuongeza watu ndo maana hata kureport wameambiwa watapigiwa simu tofauti na mwaka jana ambapo barua ilikuwa inajieleza kila kitu
Mkuu upo sahihi database ipo vjana waendlee kusubiriaSijajipa Mamlaka kaka.Kuna watu wanasubiria PDF lolote na ikiwemo kupata kutoka Database,na kila PDF wanafungua kuona kama wapo,ila yeye kusema Hakuna,ni kama anawakatisha tamaa wenzetu waliokwishafanya saili na PDF zao zishatoka na matumaini Yao yakiwa kwenye Database......
Mashallah hongera mkuuOyoookh nimelamba Asali ASA
Ukicheki huo mkeka wa leo still una nafasi za database chache sanaMkuu upo sahihi database ipo vjana waendlee kusubiria