Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 2,003
- 3,613
[emoji38][emoji38][emoji38], hapo inawezekanaHapo kwenye bold ndo kuna SELECTED/NOT SELECTED
[emoji38][emoji38][emoji38], hapo inawezekanaHapo kwenye bold ndo kuna SELECTED/NOT SELECTED
Hahahaa hebu leta lile keka la Taasisi nilizokuwa nimeweka 😂Kwenye ile list uikate ASA sasa,update list ile mkuu,zimebak ngap
Vizuri mlumbi...Status sijawahi kuangalia baada ya kufanya Oral, hili jambo nililisema humu. Nilikua kuangalia nilipopata nafasi nikakuta imeandikwa SELECTED FOR ORAL interview number _______(ile namba ya written).
Kwa hiyo sijui kama iliwahi kubadilika au la.
Hapo nilitumia Web, App sijawahi kuidownload na kuitumia.
Sikutaka kujiumiza na status kwa sababu, status haijawahi kuthibitisha matokeo ya Oral(mtu kupata nafasi).
Humu huwa nawaona tu mnavyohangaika na Status na mimi siwasumbui maana mlishachagua huo upande na mimi nilishachagua upande mwingine.
Pole na hongera kwa mrejesho, mapambano yaendelee, muda ukifika utapata nafasi yako.Hongera sana mliopata,
Binafsi nilikua matumaini moja la NIRC lakini wakati wa Mungu bado, hapa saizi ni mwendo wa kusubiri bajeti ijayo.
Hongereni sana tena mliopata.
[emoji38][emoji38][emoji38], hongera sanaa mkuu, naona umefurahia mara mbili ikiwemo na kuikwepa TGS...Asanteni sana jamani.. Mimi sio jobless tena.. lilikuwa ni Suala la muda tu nimelamba Asali Tayari ASA
Aluta continuawakuu nimechapika NIRC
status ilianza selected for null-practical-oral and till now oral.ofcoz nirc nzima ni SUA pekee, udsm wametutema. Uhamiaji nimechapwa, Nirc nimechapwa. ngoja nisikizie mkeka wa mwisho uliobaki. mlio tusua hongereni sana ma afsaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38], hongera sanaa mkuu, naona umefurahia mara mbili ikiwemo na kuikwepa TGS...
- umeajiriwa NAOT juzi huwezi kuijua vizuri, principally Kazi za Auditing nyingi (sio zote) zinahitaji Wahasibu, na ndiyo Maana NAOT wanaajiri watu wa Accounting and finance kuliko kada zingineSio CPA T wote kwa sababu hao CPA wapo kwenye vitengo tofauti tofauti, ambapo hivyo vitengo havifanani majukumu.
Staff yeyote(hata dereva) aliyepo kwenye kitengo chenye kazi nyingi zenye kuhitaji safari ili ziweze kutendeka ndio wana allowance za mara kwa mara kila wakisafiri.
yaaah mkuuAluta continua
-;huyo sio Sana Kwa sababu Kazi zao sio nyingi kama CPADuuu, kumbe mwanba @Mwifa huko anakula mema ya nchi.
Mkuu si ulisema na wewe ni miongoni mwa waliopata asali hapo TRA vip mbn wasema wameambiwa...Nadhani TRA wanaweza kuongeza watu ndo maana hata kureport wameambiwa watapigiwa simu tofauti na mwaka jana ambapo barua ilikuwa inajieleza kila kitu
Pole sana mkuu, nafasi yako ipo, ni suala la muda tu.wakuu nimechapika NIRC
status ilianza selected for null-practical-oral and till now oral.ofcoz nirc nzima ni SUA pekee, udsm wametutema. Uhamiaji nimechapwa, Nirc nimechapwa. ngoja nisikizie mkeka wa mwisho uliobaki. mlio tusua hongereni sana ma afsaa
hahaaaaMkuu si ulisema na wewe ni miongoni mwa waliopata asali hapo TRA vip mbn wasema wameambiwa...
Yote heri,kikubwa nione PDF basi,mpaka kufika oral ni hatua kubwa.Wangapi hawajawi hata kufika huku..Lower Ur expectations wkt ukisubiri PDF always Not ni NOT tu.
28/November-December 01/2022.Kwenye ile list uikate ASA sasa,update list ile mkuu,zimebak ngap
Kuna milango miwili ya ajira katika halmashauri, kuna zile ajira zinazotolewa moja kwa moja na Mkurugenzi, hizi ni zile za watendaji daraja la III, Madereva na ma-sekretari, hizi ndo pdf zake zinashuka sana humu, qualification zake ninza chini, certificates.[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe tupo wengi
yaah afsa ,hasa baada kukosa uhamiaji mambo yangu sana yakaharibikaPole sana mkuu, nafasi yako ipo, ni suala la muda tu.
Mapambano yaendelee
Mapambano yaendelee,usikate tamaa.PDF inayokuja utakuwepo kaka,Mungu ndiye mtoaji.wakuu nimechapika NIRC
status ilianza selected for null-practical-oral and till now oral.ofcoz nirc nzima ni SUA pekee, udsm wametutema. Uhamiaji nimechapwa, Nirc nimechapwa. ngoja nisikizie mkeka wa mwisho uliobaki. mlio tusua hongereni sana ma afsaa
thank u champMapambano yaendelee,usikate tamaa.PDF inayokuja utakuwepo kaka,Mungu ndiye mtoaji.