HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
wakuu nimechapika NIRC
status ilianza selected for null-practical-oral and till now oral.ofcoz nirc nzima ni SUA pekee, udsm wametutema. Uhamiaji nimechapwa, Nirc nimechapwa. ngoja nisikizie mkeka wa mwisho uliobaki. mlio tusua hongereni sana ma afsaa
Pole sana kaka, haina kukata tamaa as long as pia kuna mkeka unapumua, halafu usikuta ushapata mkeka mwingine huo na hawataki multiple placement.
 
wakuu nimechapika NIRC
status ilianza selected for null-practical-oral and till now oral.ofcoz nirc nzima ni SUA pekee, udsm wametutema. Uhamiaji nimechapwa, Nirc nimechapwa. ngoja nisikizie mkeka wa mwisho uliobaki. mlio tusua hongereni sana ma afsaa
Ohooo Pole sanaa mkuu, kwa upande wa irrigation naweza kubaliana na wewe wote wanaweza kuwa SUA lakini kwa Civil sina hakika sanaa
 
wakuu nimechapika NIRC
status ilianza selected for null-practical-oral and till now oral.ofcoz nirc nzima ni SUA pekee, udsm wametutema. Uhamiaji nimechapwa, Nirc nimechapwa. ngoja nisikizie mkeka wa mwisho uliobaki. mlio tusua hongereni sana ma afsaa
I feel ur pain! Hope for the best in future..
 
Back
Top Bottom