mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,603
- 4,190
💥💥💥💥💥💥 Andaa suti ya kwenda kuchukulia Barua...Hongera sana mwamba.. Tushalamba Asali kwenye Serikali ya Mama wetu..
Nilishakwambia wadau kuwa Leo ASA na NIRC lazima kitu kiteme na kweli yametokea na bahati nzuri tumo ndani
Sie Bado tunavuta subra placements za November ,Nadhani zipo njiani