_saul
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 257
- 520
Ila waziri alivyosema database ukute hakumaanisha tunavyoelewa, maana database zipo 3Vijana wanamix sana mambo
Mpk sasa ktk hizo 1769 sidhn hata mia 3 kama zimefika mfano huu wal leo tangazo likikua na 524 sasa ukiangalia hapo database ni wangp utaona ni wachache
Ya kila applicant, alafu waliofaulu mitihan na waliopangiwa kazi