HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Niliwahi kukutana na dereva tu wa OSHA , Nikagundua the same countety but the different world. Daah any way tupambane one day yes
[emoji1787][emoji1787], ilikuwaje mkuu.....ukajiuliza huyu ni dereva yupo hivi what about IT and other Senior Staffs?
 
[emoji23][emoji23] Mimi dereva wa TASAF amenifanya nije kusoma kozi ya VIP Driving na kuona hakuna maana ya Degree. Nipo NIT namalizia Week ya mwisho hapa. Labda tujaribu kulamba kwa kupitia mlango wa nyuma.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], kwahiyo mkuu imefika mahali umeamua kuiweka kando degree yako?
 
Ukiacha status ya NOT SELECTED FOR Oral interviewkitu kingine kinachoenda kupoteza mvuto mbele ya wasaka mirija ni salary scale za TIJIES[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], daaa kama hapo kuna mwamba ndo ameshawakata watu moto kwamba anapambana eti atoke shimoni....nimebaki kujiuliza kuna nini huko aisee?
 
Sijamaanisha inaweza kuwa hiyo figure exactly nimetoa tuu figure kuonyesha ukubwa najua inaweza kuwa pungufu kidogo au zaidi ya hapo pengine mimi sijui lakini kuna watu watakuwa wanafahamu zaidi. Ninachokifahamu niliambiwa huwa wanapokea salary mbili kama mtu ana-profession.
  • sio salary 2 as such ni professional allowance,
  • CPA T wa NAOT Wana hela nyingii kuliko vitengo vingi kutokana na Allowance and safaris.
 
Ukiacha status ya NOT SELECTED FOR Oral interviewkitu kingine kinachoenda kupoteza mvuto mbele ya wasaka mirija ni salary scale za TIJIES[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aloooo sema tu wengine hatuna option so hata tukipata tijies fresh tu itafahamika mbele kwa mbele
 
watumishi wa wizarani wote mishahara yao ni TGS isipokua taasisi za umma, mashirika ya umma, wakala za serikali, mamlaka za serikali wao wana scale zao

sema lkn wizarani wana safari sana kwaio posho zinapunguza ukali wa maisha kwa kias kikubwa sana

lkn maisha ni kujipanga tu na sio mshahara ingawa kiukwel usawa hapo haupo fani moja level ya elimu moja halafu mnapishana mishahara hilo serikali walitathimini sana kwa siku za baadae
Kuna baadhi ya wakala wa serikali wanatumia TGS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom