Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,570
Kesho nayo siku.....
Tuendelee kupambana uwenda kesho ni zamu yetu lkn Binafsi family zetu zimetubebesha matumaini Yao kwenye vichwa vyetuMkuuu hali ni tete aisee....nimeishangaa sanaa serikali si ingesema mapema tuu kwamba nafasi kwa kila mkoa zipo kadhaa ili mtu ujue kwa nafasi hizi, nikitoa kada wa sisiem, wale uncle kanituma, unajua hapa nafasi yangu haipo. Wala haujisumbui kupoteza hela ya ku-print forms.
ASA&NIRC my predictionHivi tukitabiri kwa chapchap ni kidf gani chaja
Lower Ur expectations wkt ukisubiri PDF always Not ni NOT tu.Wee ndo nimekupata sasa,mimi ngoja nisubirie Pdf aisee...nitaleta mrejesho.
Mbn hii ipo sn tu km ujajifunza ubishiHiv kuna watu wanaacha kabisa kujibu baadh ya maswali oral??? How???
Mimi sijaacha lakini Status inasoma NOT SELECTED lkn jamaa angu ameacha maswali mawili na still yupo SELECTED kwa kuacha sidhani kama kuna tatizo sana.Mbn hii ipo sn tu km ujajifunza ubishi
ameacha maswali mawili uliingia nae pamoja kwenye panel? ama alikusimulia. bdo haujui unafiki wa mtanzania??Mimi sijaacha lakini Status inasoma NOT SELECTED lkn jamaa angu ameacha maswali mawili na still yupo SELECTED kwa kuacha sidhani kama kuna tatizo sana.
Binafsi sio muumini sana wa ushuhuda hasa wa toka kwa mtu wa tatu, ni hivii, wengi hawashuhudii ukweli, ni kama enzi tu za sekondari, mnatoka katika mtihani wa hesabu, kipanga anawapanga kuwafariji tu kuwa section B kafanya swali moja tu, mengine yamemshinda, ngoma ikirudi kasimamisha banda lake palee.Mimi sijaacha lakini Status inasoma NOT SELECTED lkn jamaa angu ameacha maswali mawili na still yupo SELECTED kwa kuacha sidhani kama kuna tatizo sana.
Ofcoz ameniambia na hata nlipo muuliza hakua na idea nayo kbsa.ameacha maswali mawili uliingia nae pamoja kwenye panel? ama alikusimulia. bdo haujui unafiki wa mtanzania??
Shuhuda za uongo hizo, sio kwa ushindani wa sahili za utumishi, mistake kidgo tu unatolewa nje ya chaki. Fikiria tu, post moja mpo sita au post 100 mpo watu 300+, halafu uache maswali mawili uwepo katika pdf, huo ni uongoo bhana, ni uongoo!.ameacha maswali mawili uliingia nae pamoja kwenye panel? ama alikusimulia. bdo haujui unafiki wa mtanzania??
ndio maana nimemwambia asimwamini huyo rafiki ake coz anamchora tuShuhuda za uongo hizo, sio kwa ushindani wa sahili za utumishi, mistake kidgo tu unatolewa nje ya chaki. Fikiria tu, post moja mpo sita au post 100 mpo watu 300+, halafu uache maswali mawili uwepo katika pdf, huo ni uongoo bhana, ni uongoo!.
Hakika, hilo nalo akalitazame!ndio maana nimemwambia asimwamini huyo rafiki ake coz anamchora tu
Humu comment kama hizi hazitakiwi mkuu, wanasema mnakatisha watu tamaa.Lower Ur expectations wkt ukisubiri PDF always Not ni NOT tu.
watumishi wa wizarani wote mishahara yao ni TGS isipokua taasisi za umma, mashirika ya umma, wakala za serikali, mamlaka za serikali wao wana scale zaonafahamu mkuu,kumbuka NIRC wapo chini ya Wizara wana irrigation projects ,gross lakisaba . ila allowances ndizo zitakufanya uishi town
Ingia PM hapo mkuuTushirikishe kitu gani tena jmn
Issue ni mgawanyiko wa Marks maana marks zako hazitegemei Maswali tu Yale utayoulizwa lkn Piah uelewe kila Panel ina utaratibu wake.Mimi sijaacha lakini Status inasoma NOT SELECTED lkn jamaa angu ameacha maswali mawili na still yupo SELECTED kwa kuacha sidhani kama kuna tatizo sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] , tusifie zuongezeke zaidi...Huko ASA Kuna hela sana.. hebu tuendelee tu kusifia[emoji16]
Hivi kumbe na hawa hawakuwahi kutangaza posts au ndo wanachukuliwa wa database?Hivi staff wa TCRA wanapatikanaje[emoji848][emoji848][emoji848]