Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,771
- 126,708
PDF ndio msemakweli baada ya Oral@Mwifwa hakuwai kua muumin wa status,sidhan kama ana majibu sahihi mana sidhan kama hata amewahi fatlia status zake.
NUKTA.
PDF ndio msemakweli baada ya Oral@Mwifwa hakuwai kua muumin wa status,sidhan kama ana majibu sahihi mana sidhan kama hata amewahi fatlia status zake.
Ikr, imeisha hyooo[emoji119].PDF ndio msemakweli baada ya Oral
NUKTA.
Mimi nilikuwa kama wewe ila sasa hivi mwaka wa 9 halmashauri salary haijafika 1M. Vijana wa TRA wanaojiriwa juzi wanaanza na 2.3M na wote tuna degree moja. Sasa hivi nipo napamba na interview na vijana niondoke shimoniMimi focus yangu ni kuingia kwenye system kwanza, issue za mishahara nitajua uko mbele
Sijawahi kuangalia Status yangu baada ya kufanya Oral, kwa sababu status haijawahi kuthibitisha matokeo ya Oral(mtu kupata nafasi)Yes issue hizo zipo bt Mwifa sidhan kama alikua anacheck status zake, wacha akija atasema
Hakuna swali nlilozingua, sijui kwa upande wa panel sasa
Yeah TARI nasikia ni heshima🙌.....Nilikandwa kwa marks 1 written yake.....Nilimind kingese😬hahahaa , kiboko yao TARI mkuu
Status sijawahi kuangalia baada ya kufanya Oral, hili jambo nililisema humu. Nilikua kuangalia nilipopata nafasi nikakuta imeandikwa SELECTED FOR ORAL interview number _______(ile namba ya written).Mwifa anashindaga humu,Kwa kifupi ni mlinzi wa huu. Uzi so matukio yote anajua,akija atatupa abc za hii kitu.
Ufanisi utakuja tukiwa tumeshiba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona leo mada ni mshahara,posho na other incetives, ila ufanisi wa kazi hatuulizii,yani wabongo tabia zetu tunajijua wenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwezi Amin mie kila siku nipo hapa nimekua mvivu kutype tu hapa
Alooo itabd nkasomee taxation hata course fupi huko mbelen nami nijifue kupata "tiyaraeyi"[emoji28]Mimi nilikuwa kama wewe ila sasa hivi mwaka wa 9 halmashauri salary haijafika 1M. Vijana wa TRA wanaojiriwa juzi wanaanza na 2.3M na wote tuna degree moja. Sasa hivi nipo napamba na interview na vijana niondoke shimoni
Ewuraaaa, tpdcAlooo itabd nkasomee taxation hata course fupi huko mbelen nami nijifue kupata "tiyaraeyi"[emoji28]
mkuu na nyie hapo si TGS? ila marupurupu ndio ya kufa mtuu?Ufanisi utakuja tukiwa tumeshiba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ewura juzi walitangaza vacancy transfer .post za economics zilikuepo mkuuEwuraaaa, tpdc
Huko mostly ni post gani?Ewuraaaa, tpdc
Tukienda field kuna allowance ya fieldmkuu na nyie hapo si TGS? ila marupurupu ndio ya kufa mtuu?
Inataka mtu 1 na tuliitwa 6Post inahitaji watu wangapi na mliitwa wangapi?.
Engineer, IT, finance officer, economics, various itategemea na uhitaji ukiguswa umeula koxi yako, ila kutoboa sasa written mnaweza kuwa hata watu elfu7[emoji3][emoji3][emoji3]Huko mostly ni post gani?
muhimu sana afsaTukienda field kuna allowance ya field
Niliziona kk, nikabaki kuzizoom tu[emoji3][emoji3]ewura juzi walitangaza vacancy transfer .post za economics zilikuepo mkuu
Saafi hiiTukienda field kuna allowance ya field