MrJobless
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,102
- 1,362
Kuna muda ni vizuri zaidi kupokea Ukweli utaokuumiza maana baadae itakuwa na manufaa dhidi yako.Humu comment kama hizi hazitakiwi mkuu, wanasema mnakatisha watu tamaa.
Anyway, kama ulivyosema, "always, Not ni Not tu". Hilo nalo wakalitazame.
Mfano hapo Kwa Ndugu yetu akizingatia maneno ya wengi itafanya awe Sawa tu hata km hasipoona Jina lake kwenye PDF kwasababu wengi walihisi hivyo. Lkn akumbuke kuna Miujiza uwaga inatokea