HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mimi mkongwe ajira 2014, nikakutana na uhakiki wa Magufuli 2016 vyeo vikasimama kwa miaka 2-3.
Sasa naomba kazi taasisi kubwa tu nani anataka kula nyasi maisha yote.
[emoji3][emoji3][emoji3], daaah mwamba unazidi kututisha ujue....mtu ikitokea amepangwa halmashauri kutokea database anaweza kujikausha aisee... upo halmashauri za mjini au kijijini?
 
Ambao hatujaingia huko yaaan tupo radhi hata tule TGS B..
ila sasa ukishaingia huko na kukaa mudaa kadhaa..majukumu yakawa ndo yamedouble ndo lazima ufanye unachofanya sasa hv

Bt all ni all kikubwa uwe na kamrija ka asali hata kama ni kakiduchu ila uhakika upo
 
[emoji3][emoji3][emoji3], daaah mwamba unazidi kututisha ujue....mtu ikitokea amepangwa halmashauri kutokea database anaweza kujikausha aisee... upo halmashauri za mjini au kijijini?
Mkuu Halmashauri zote hazina tofauti regardless ni mji au wilaya,, hizi za mji zinawekwa ili kupunguza mzigo kwa Halmashauri za wilaya
 
[emoji3][emoji3][emoji3], daaah mwamba unazidi kututisha ujue....mtu ikitokea amepangwa halmashauri kutokea database anaweza kujikausha aisee... upo halmashauri za mjini au kijijini?
Yaaaan
Sema kwa hali ilivyo wa kukausha sio wengi kihivyo...nani ana ubavu wa apangiwe na akaushe unless awe tyr ana mrija wake wa asali unatiririsha ila upo na maisha ya kuunga unga halmashauri iwe kijjn au mjini...bondeni au mlimani...kukame au kwenye baridi utaenda tu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Daaah sure kabisa, ujobless asikwambie mtu, na pia baada ya muda si unaweza kuwa unaomba kazi psrs as usual, unajipanga na majeshi vzr huku ukiwa una uhakika wa kula na nauli, unawakanda tu na unaingia utakapopataka
 
[emoji1][emoji1][emoji1], vijana tulikuwa kwenye mjadala mpya na mzito kabisa kuhusiana na Salary scales kwa taasisi tofauti tofauti za JMT...Hii imekuja baada ya vijana kuona mjadala wa Status hauweleki...Karibu mkuu.
Haya mambo salary yatawakatisha tamaa asee taasisi za serikali zimetofautiana sana utafikiri ni nchi rofauti

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Daaah sure kabisa, ujobless asikwambie mtu, na pia baada ya muda si unaweza kuwa unaomba kazi psrs as usual, unajipanga na majeshi vzr huku ukiwa una uhakika wa kula na nauli, unawakanda tu na unaingia utakapopataka
Hadi mbunye inakushinda uspokuwa makin kwa ujobless huu tunaopitia mamaeeee
 
Kumbe wewe ni WA juzi tu.. Kaa pembeni kwanza, hebu tuwapishe Akina mazaga one wa November Hadi Leo wanasugua nyayo tu😂😂
Boss kubwa haitegemei hiyo kwa utumishi 😂😂
TRA walipiga oral trh 8 jan , tarh 14 feb wameanza kulamba mrija wa asali, wamewaaacha wa November huko?

Kuna mdau mmoja anasema walopiga Nov. Vibali vyao vya ajira vimefutwa hvyo wataanza upyaaa 😂😂
 
Boss kubwa haitegemei hiyo kwa utumishi [emoji23][emoji23]
TRA walipiga oral trh 8 jan , tarh 14 feb wameanza kulamba mrija wa asali, wamewaaacha wa November huko?

Kuna mdau mmoja anasema walopiga Nov. Vibali vyao vya ajira vimefutwa hvyo wataanza upyaaa [emoji23][emoji23]
Watakuwa hawana huruma na vijana hawa wakivifuta hvyo vibali
Tulipigwa na jua balaa
Usail ilkuw uanze saa moja asbh ukaja anza saa sita na nusu.....
Hata ako kahuruma jaman[emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom