Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 2,003
- 3,613
Duuu, kumbe mwanba @Mwifa huko anakula mema ya nchi.
- sio salary 2 as such ni professional allowance,
- CPA T wa NAOT Wana hela nyingii kuliko vitengo vingi kutokana na Allowance and safaris.
Duuu, kumbe mwanba @Mwifa huko anakula mema ya nchi.
- sio salary 2 as such ni professional allowance,
- CPA T wa NAOT Wana hela nyingii kuliko vitengo vingi kutokana na Allowance and safaris.
Ohooo kumbee sawasawa...hio pgss ni kwa mashirika ya umma(gari zao zina SU) ndo huwa wanatumia scale hzo, ziko juu kidogo compared to TGS.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo sidhaniiii, tusubirie wiki ijayoKwawale wenye uzoefu wakunusa arufu ya PDF mnuso wenu leo wasemaje
Ahaaa kumbe...Hazina ipo chini ya MoF (wizara ya fedha) hata mwezi huu tarehe 01 wamefanya oral na Tarehe 29 jan ilikua Written upande wa Uhasibu.
sikupingi mkuu inawezekana lkn ni chache sana kama zipo
PM yangu sjui ni gani,iko empty sion msg hata,yani haidisplay kitu hata convo nlizokua nazo sizion tenaIngia PM hapo mkuu
Duuu!! Itakuwa kwenye matengenezo labdaPM yangu sjui ni gani,iko empty sion msg hata,yani haidisplay kitu hata convo nlizokua nazo sizion tena
Huu Uzi haitaki ukae zaidi ya masaa 12 bila kuingia.. ukikaa zaidi ya hayo mass lazima nots zikusumbueDuh yani nimelog out jana sana kumi humu nakuta new comments 600+
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1], vijana tulikuwa kwenye mjadala mpya na mzito kabisa kuhusiana na Salary scales kwa taasisi tofauti tofauti za JMT...Hii imekuja baada ya vijana kuona mjadala wa Status hauweleki...Karibu mkuu.Duh yani nimelog out jana sana kumi humu nakuta new comments 600+
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Tuombe Mungu ajalie iwe ivyoLeo naona zaga linaterrmemshwa mapema mida ya Jioni hapo.
Wale wa
SUA
RUWASA
OUT
UDSM
DUCE
ASA
Zamu yenu Leo imefika msiseme kuwa sikuwaambia
Unasubiri mkeka upi mkuu?Tuombe Mungu ajalie iwe ivyo
[emoji4][emoji4][emoji4] hatari na nusu.Huu Uzi haitaki ukae zaidi ya masaa 12 bila kuingia.. ukikaa zaidi ya hayo mass lazima nots zikusumbue
Yupo kwa ukaguzi kumbe....Mwifwa ndugu yangu kumbe tayari umeshalamba asali ya NAOT, Hongera sana ndio nazipata habari zako humu ulikuwa mchangaiji mzuri wa mada, na sisi tunasubiria soon tunatumai na sisi tutalamba asali kwa uwezo wa Mungu
Mimi mkongwe ajira 2014, nikakutana na uhakiki wa Magufuli 2016 vyeo vikasimama kwa miaka 2-3.Ohooo, mkuu usikate tamaa. Kumbe wewe ulishaingiaga kwenye Pipa la asali muda mrefu tuu.