Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,570
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hivi TCRA wanaupiga mwingi bila shaka, kuna wazee wale wa TASAF, TASAC, TEMESA, NEMC, OSHA, TRC bila shaka hawa viumbe wanaumwaga mwingi sana aisehHata TPA mkuu wanaogelea kwenye Mzinga wa Asali. Karani tu anasumbua