HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tz unafuu wa mishahara angalau uwe mtumishi wa mashirika ya umma,huko kwingine range ni zilezile tofauti huanzia kwenye fursa zilizopo.halmashauri ndio kabisa sonona itakuua
Jamani kazi ni hizi hizi na mishahara haijawahi kutosha duniani kote hata kama utalipwa Mil5 sasa hivi..

Niko kwenye Wakala moja ya Serikali ingawaje hapa sisi kazi zetu ni za mikataba na tunarenew kila baada ya miaka miwili..

Mshahara na marupurupu ya hapa na pale si haba ingawaje mara ya kwanza ukipewa ile contract inaona kazi si ndo hii, lakini unapoanza kulipwa ule mshahara utaona kuwa hauwezi kutosha kwa maisha ya sasa halafu mbaya zaidi kwa Familia zetu hizi Extended family na ikiwa ww ndo atleast umetoboa huwezi kuishi kwa mshahara..

Kikubwa ndugu zangu Mungu akijaalia mpatapo mrija wa Asali pia ni muhimu kuzingatia namna ya kujiongezea kipato kwa sababu pia maandiko yanasema "Binadamu hatoishi kwa mkate tu"..

Naamin Mwenyezi Mungu kampangia kila mtu wapi atapata mrija wake wa asali, haiwezekani wote tukaenda sehemu moja hivyo basi hata kama utapangiwa Halmashauri kamwe usije ukakosa kwenda kuna watu wanafanya mambo makubwa na huwezi kudhani anafanya kazi halmashauri.
 
Ushauri mzur sana,barikiwa mkuu
 
Naam! Umemaliza yote chief
 
Fact
 
private wa jeshi elimu formfour analipwa above 700k per month, degree holder una range humo humo. sio poa kikubwa huku fursa ni nyingi hasa semina,warsha,safari na vikao
Nasisitiza tena ukipata chaka ww zama usiangalie habari ya mshahara! Mshahara hujawahi kutosha duniani..

Kuna jamaa hapa tulikuwa nae mshahara aliokuwa analipwa hapa kwa level ya diploma ndo akaenda kulipwa huko Manispaa kwa level ya degree TGS E.

Alikuwa anasita sita kwenda kule na bado hapa tunafanya kazi kwa mkataba! Tukamwambia nenda, saiv anatukumbua kwa namna anavyoogelea kwenye dimbwi la asali ingawaje ni local government..
 
Chai hii [emoji3]. Capt wa Jeshi analamba around 2.7m + Allowance 300k + Elimu 500k + Nyumba 600k + Vinyaji 100k plus Kozi za kijeshi inategemea lkn 6mil parefu aisee labda kwa Magenerali huko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], usiwe serious sanaa mkuu, nimetaja tuu figure..sijuagi hata salary zao nilibuni tuu.
 
Back
Top Bottom