Madogo mnakosa uvumiljvu. Mimi niliomba kazi tume ya madini tangia 2019. Hadi leo status ipo RECEIVED hakuna written wala oral tuliyoitwa.TAEC
SUA
ASA
TARI💥💥
 OUT
RUWASA
TARI ameshatoka Leo, tuendelee kuwavutia Subra na wengine hao.....
Madogo mnakosa uvumiljvu. Mimi niliomba kazi tume ya madini tangia 2019. Hadi leo status ipo RECEIVED hakuna written wala oral tuliyoitwa.TAEC
SUA
ASA
TARI💥💥
 OUT
RUWASA
TARI ameshatoka Leo, tuendelee kuwavutia Subra na wengine hao.....
Congratulations mkuu.Mungu mwema sana wadau, Mimi pia nimebahatika pdf la TARI....katika waliokua in a very bad place ni mimi. Niwaombee Pia mnaosubiri Neema yake Mungu iwashukie [emoji1488]
Hongera sana mkuuMungu ni mwema sijawahi comment sana humu il nimepata TARI
Ulifanya Agricultural Officer..?Hata mimi namsubiri ASA
Zee la umwagiliaji sijui liniAfu anabakia zee lao la umwagiliaji NIRC..nyie wa november zidishen maombi.
Ngoja tusubiri at any time t pdf waaa🙄Zee la umwagiliaji sijui lini
Mbona walishaitwa hawa watu zaman??Madogo mnakosa uvumiljvu. Mimi niliomba kazi tume ya madini tangia 2019. Hadi leo status ipo RECEIVED hakuna written wala oral tuliyoitwa.
Hapana mkuu ni AICT OfficerUlifanya Agricultural Officer..?
Ndiyo, ilipitia. Toka null kwenda practical kisha oral.Mkuu Ile scenerio ya Selected for practical ilipitia kwako..?
Futa storage na cache files za hiyo app kwenye simu yako mkuu. Nenda Settings>Apps&Notifications> chagua hiyo app ya ajira kisha angalia kwa chini kama mstari wa tatu kuna shehemu pameandikwa storage. Ingia hapo na clear storage data pamoja na cache. Kisha toka na ufanye Log-in tena kwa email yako na password. Yangu pia hufanya hivyo maranyingi na hiyo ndiyo suluhu.Kwenye app mbona hapo kwenye profile completeness wameandika 0.0% badala ya 100%
Na kule kwngine kote hakudisplay chochote
Kuna wanachofanya huko jikoni[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2526607
pamoja mkuu wetuNdiyo, ilipitia. Toka null kwenda practical kisha oral.
NB: Usahili wetu haukua na practical.
Mzee mbona hao walishaajiriwa kitambo sana...Madogo mnakosa uvumiljvu. Mimi niliomba kazi tume ya madini tangia 2019. Hadi leo status ipo RECEIVED hakuna written wala oral tuliyoitwa.
So kwa sasa hivi mpo tu?Nadhani wiki ijayo kuanzia 28th February ratiba ya induction TRA itatoka
Unaona sasa. Hata NOT SHORTLISTED hawajaniwekea mimi nikajua ajira zimefutwa. Hizi taasisi za mishahara 4M zina shida sana.Mzee mbona hao walishaajiriwa kitambo sana...