HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Noma sana,sikujua kumbe kuna wengne wanapewa option kbsa anaweza acha swali.
Wengine tulikomaliwa tujibu yote tena anafanya kukuhesabia umetaja point tatu bado mbili malizia,hapo utakuna had nyusi uzitaje zote tano[emoji855].
Ndo mana nikashangaa unaachaje maswali,kumbe pannel ni watu na watu ni binadam hutofautiana asee.
No, sio option ya kuacha swali, hakuna anayependa kuacha swali, hakupi nafasi ya kufikiria na kuanza kushuka, anakuvusha kwa swali linalofuata.

Hao wa kukuhesabia na kukuhimiza ujibu, ni wazuri, wanakupa nafasi zaidi.

Hapo anakua ameshakupoteza na kukutoa nje ya chaki.
 
Asee kiongozi umenishtua moyo hapa. Kumbe ASA napo sio habaa? Design kama napachukulia kama taasisi ya kawaida!
wakati tunajiandaa na oral ya NIRC kuna mwamba mmoja anadai washaki zake wawili walifanya transfer ya kuhamia NIRC ,hii ikanifikirisha sana imekuaje kuaje mtu aihame autonomous agency kwenda TGS D kwelii? jamaa akadai NIRC projects na safari ni deilii
 
No, sio option ya kuacha swali, hakuna anayependa kuacha swali, hakupi nafasi ya kufikiria na kuanza kushuka, anakuvusha kwa swali linalofuata.

Hao wa kukuhesabia na kukuhimiza ujibu, ni wazuri, wanakupa nafasi zaidi.

Hapo anakua ameshakupoteza na kukutoa nje ya chaki.
Anhaaa dah[emoji855]
 
wakati tunajiandaa na oral ya NIRC kuna mwamba mmoja anadai washaki zake wawili walifanya transfer ya kuhamia NIRC ,hii ikanifikirisha sana imekuaje kuaje mtu aihame autonomous agency kwenda TGS D kwelii? jamaa akadai NIRC projects na safari ni deilii
Mwamba nimefurahi sana kuzungumzia Tume yangu pendwa NiRC....hasa hapo mwishoni....DEILII🤣🤣
 
Ah we kuna wengine wanapondea tu ukute hata ndugu zao hyo scale ya TGS D wanaitafuta kitaa na hawapati.
Focus ya kwanza ni kuingia kwenye system then mengine yatarekebishika baadae,we are taking baby steps,tutafika tu pale juu tunapopataka
Mimi focus yangu ni kuingia kwenye system kwanza, issue za mishahara nitajua uko mbele
 
Noma sana,sikujua kumbe kuna wengne wanapewa option kbsa anaweza acha swali.
Wengine tulikomaliwa tujibu yote tena anafanya kukuhesabia umetaja point tatu bado mbili malizia,hapo utakuna had nyusi uzitaje zote tano[emoji855].
Ndo mana nikashangaa unaachaje maswali,kumbe pannel ni watu na watu ni binadam hutofautiana asee.
Me nilikomaliwa swali moja hivi baada ya kijibu point 3,,nikawaambia can you skip this question I will back again,wakasema sawa..baadae nikajibu.
 
Ndo tutofautishie
PUSS 1.1
Na
PUTS 1.1
ni kuanzia kama ngap?
PUTS Ni kwa wale academian..mfano tutorial assistant, assistant lecture, lecture na prof..
Ila Puss ni kwa wale ma,lab technician na wengneo waliopo chuon
Puss 1.ni kwa wale wenye certificate
Puss 2 and 3 nikwa diploma
Puss 4 nikwa wenye degree...ndivo ninavoelewa
 
Tunawaza mshahara sijui TGS etc kazi yenyewe bado hatujapata,isitoshe tunaona TGS ni ndogo..hiyo ndogo kwenye harakati za msoto mtaani inapatikana!🙄
Kwenye hizi hizi sahili za LGA kuna watu watapangiwa halmashauri za ndani ndani huko, na hawataenda. Katika maisha kila mtu yuko na misimamo yake.

Ukiwa desperate na kazi, unaweza sema kazi yoyote nitafanya, ukapata kazi, utafanya wiki tu, mwenyewe utaamua kuacha na kuona bora urudi benchi.
 
Back
Top Bottom