HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kuanzia leo ngoja nifute App
Na pia ntajicontrol niache kuangalia kwenye web
Hadi pale humu mtakaposema PDF la Nov. 28 lipo tyr
Hii itanisaidia kuregain the lost weight now
Kwa kusubiri miezi mitatu
Hahahahahaha!Usiogope wee ingia ingia ucheki ,kama Yako, Yako tuu....
 
Duu, hivi hao jamaa wa WMA mbona sijawahi ona post zao za kazi zikitangazwa? Na ni kweli wapo njema maana nilienda mahali nikaona ofisi zao duuu...hao wanaweza karibiana na TRA.
Hao jamaa walikuwa wanaajiri wenyewe kwa Mikataba ila naona saiv wamepelekwa utumishi ingawa pia kule utumishi bado wanapewa mikataba kama Tanesco.

Hata hivyo hawako wengi sana, kwa mfano mkoa niliopo hapa ofisi nzima hawazidi hata watano..
 
Siogop chochote mkuu,sina sababu hyo coz nmeshajipanga kama nikipata kheri,nspopata najua nafanya nn.
The more unavozd kufatlia status plus ukija na humu slowly unaanza kua obsessed to which its not healthy mentally.
Pia nmeamua tu kusali sana na kumtegemea Mungu matokeo yaje positive.
Mungu ni mwema utatoboa Mama..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa madam alivokua anasema try to be fast as if mm swali nalijua nishuke tu kama nshalimeza chaaa[emoji849][emoji849][emoji849]
Mkuu wala usjali,kama ni wakati wetu hakuna wa kuzuia Mungu akisema YES.
Tuzid kuombeana,ntafrahi tukipata sote
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38], imenibidi nicheke tuu hapo kwenye chaaaa!
 
Hao jamaa walikuwa wanaajiri wenyewe kwa Mikataba ila naona saiv wamepelekwa utumishi ingawa pia kule utumishi bado wanapewa mikataba kama Tanesco.

Hata hivyo hawako wengi sana, kwa mfano mkoa niliopo hapa ofisi nzima hawazidi hata watano..
Ahaaa, sawa hv hao ndo wenye salary scale ya PGSS?
 
Back
Top Bottom