HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sasa katika hiyo ya kuambiwa, "umebakiza dakika chache, try to be fast" panelist mwingine hakupi hiyo nafasi, ukiwa unafikiria, anakwambia tu, "we know what you mean, another qn" ndo imetoka hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huo ni ukatili aiseeee,nacheka kama mazur vile dah,haya mambo bana.
 
PUSS means Public University Salary Scale
So haijalishi upo wapi as long as ni chuo cha umma
Sema kuna scales
PUSS 1.1
PUSS 4.1
PUSS 2.1
Kwa kuongezea hutofautiana kidogo kulingana na miaka ya degree yako hasa kwa TA kuna hiiyo PUSS 1.1, 1.2, 1.3
 
Kwa kuongezea hutofautiana kidogo kulingana na miaka ya degree yako hasa kwa TA kuna hiiyo PUSS 1.1, 1.2, 1.3
Na hawa ni akina nani mbona sion hizo PUTS na PUSS?
Screenshot_20230223-203116_Chrome.jpg
 
Asee kiongozi umenishtua moyo hapa. Kumbe ASA napo sio habaa? Design kama napachukulia kama taasisi ya kawaida!
Hizi taasisi zinazojitegemea zina viwango vyao vya mishahara ambavyo viko approved na Serikali kuu ndo maana utaona mishahara inatofautiana kati ya watumishi wa Serikali kuu/Serikali za Mitaa na Taasisi za serikali zinazojitegemea.
 
Ndo changamoto za huko, uzuri tukija humu, haya hatushuhudii in first place,.
Noma sana,sikujua kumbe kuna wengne wanapewa option kbsa anaweza acha swali.
Wengine tulikomaliwa tujibu yote tena anafanya kukuhesabia umetaja point tatu bado mbili malizia,hapo utakuna had nyusi uzitaje zote tano[emoji855].
Ndo mana nikashangaa unaachaje maswali,kumbe pannel ni watu na watu ni binadam hutofautiana asee.
 
Hata mm siwez acha kwenda, likija swala la mishahara vijana wako wa halmashaur tunakua wanyonge sana [emoji26][emoji26][emoji26] iii mada ya mishahara tunakosa hata nguvu ya ku comment.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nmecheka sana,mimi wa LGA MDA wacha nijipe moyo labda ntaangukia MDA
 
Back
Top Bottom