malela.nc
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 261
- 350
Kwenye AppNot selected unaiona kwenye app au kweny web au potepote??
Mbona nmeanza kuogopa
Walete PDF haraka buana tujue mbivu na mbichi
Kwenye AppNot selected unaiona kwenye app au kweny web au potepote??
Mbona nmeanza kuogopa
Walete PDF haraka buana tujue mbivu na mbichi
Nadhani anatakiwa kuchagua post iwapo tu hizo posts zake zimetoka kwa pamoja ndipo unakuwa na scale of preference lakini kama hiyo nyingine anayoikubali na kuipenda ajitoe tu ufahamu akachukue barua na labda kama nje hiyo nafasi ana chanzo kingine cha uhakika cha kipato atakuwa sahihi na atakuwa sawa tu mwajiriwa aliyefukuzwa kazi sababu ya ulevi maana majuto yake baadaye ni makubwa, kikubwa mshawishi tu akachukue hiyo barua maana hajui yajayo zaidi ya MUNGU wake.ni mwanangu nae kapata baada ya kumsomea mzigo amegoma kujafata barua
Unatakiwa ujue habar ya written imeisha pale ulivoitwa kwenda oral na havina uhusiano kabisa mkuu na marks za oralWadau swala la status ntaleta mrejesho maana kwangu imebadilika from SELECTED FOR ORAL to NOT SELECTED FOR Oral. Kama ntakosa means kweli. Na kuna jamaa angu yeye still ipo SELECTED FOR ORAL lakini ya rangi Nyekundu. Hapa ndipo hawa jamaa wa Sekretarieti ya Ajira ndipo wanapotuvuruga
NB. Kwenye Written mimi ndio nliongoza na huyo jamaa yangu alikuwa wa Mwisho katika tuliokuwa Selected.
Week hiviUnatakiwa ujue habar ya written imeisha pale ulivoitwa kwenda oral na havina uhusiano kabisa mkuu na marks za oral
Btw oral yako ulifanya lini mpaka status ishaanza kuchange?
Daaa watu wana maisha yaani uitwe kazini halafu usiende kuchukua barua?ivi nataka jua kwa mtu aliepata kazi hakwenda fata barua kwakua anaskilizia post nyingine placement ikitokea nako akakosa mtu uyu akiomba kazi tena utumishi anakua considered au ndo ntolee iyo
Sasa kwann aliomba hiyo taasisi au ndo ametokea database?ni mwanangu nae kapata baada ya kumsomea mzigo amegoma kujafata barua
Weka picha ya status tuone mkuu kama kweli..?Week hivi
Duuh aiseh oral lkn si ilienda tu fresh maswaliWadau swala la status ntaleta mrejesho maana kwangu imebadilika from SELECTED FOR ORAL to NOT SELECTED FOR Oral. Kama ntakosa means kweli. Na kuna jamaa angu yeye still ipo SELECTED FOR ORAL lakini ya rangi Nyekundu. Hapa ndipo hawa jamaa wa Sekretarieti ya Ajira ndipo wanapotuvuruga
NB. Kwenye Written mimi ndio nliongoza na huyo jamaa yangu alikuwa wa Mwisho katika tuliokuwa Selected.
Okay sawa, kwa upande wa salary watakuwa hawapishani sanaa na hao watakaoenda NIRC ambao wao waliambiwa salary yao ni TGS E, maana nahisi sasahv itakuwa kwenye 1M au na point kadhaa.salary nasikia ni approximately 1.2 M
posho za safari ndio kabisaa. but kikubwa kuipenda kazi yako
Mbona mapema sana mwenzetu,naskia kuchange normally ni around 3 weeks hiviWeek hivi
sawa mkuu,kuna TGS D pia.bongo hii kikubwa usipate kazi halmashauri tuu huko ni mwendo wa chai mandazi deiliOkay sawa, kwa upande wa salary watakuwa hawapishani sanaa na hao watakaoenda NIRC ambao wao waliambiwa salary yao ni TGS E, maana nahisi sasahv itakuwa kwenye 1M au na point kadhaa.
Jamaa ako ana"""" selected for oral""" ya rangi nyekundu????Wadau swala la status ntaleta mrejesho maana kwangu imebadilika from SELECTED FOR ORAL to NOT SELECTED FOR Oral. Kama ntakosa means kweli. Na kuna jamaa angu yeye still ipo SELECTED FOR ORAL lakini ya rangi Nyekundu. Hapa ndipo hawa jamaa wa Sekretarieti ya Ajira ndipo wanapotuvuruga
NB. Kwenye Written mimi ndio nliongoza na huyo jamaa yangu alikuwa wa Mwisho katika tuliokuwa Selected.
TGS E ni laki 9.8 kabla ya makatoOkay sawa, kwa upande wa salary watakuwa hawapishani sanaa na hao watakaoenda NIRC ambao wao waliambiwa salary yao ni TGS E, maana nahisi sasahv itakuwa kwenye 1M au na point kadhaa.
Ohooo, Pole sana mkuu. Usijali kama umesomea mambo yanayohusiana na maliasili siku moja utatumbukia tuu humo. Au ilikuwa ni nje I.e, Uhasibu, sheria n.k?TAWIRI hakika huku wanaogelea kwenye pipa la asali, nlipokosa nliumia sana.
Kikubwa ni kuridhika tuu na taasisi utakayopangiwaTransfer sio rahisi kama inavyoongelewa hapa ni mchakato mgumu na hasa unamjua nani huko unakotaka kwenda lazima mfuko utoboke ulambishe watu asali. Ingekuwa ni rahisi kuingia TRA kutokea halmashauri basi halmashauri watu wangeisha
TGS D ni laki 7.1sawa mkuu,kuna TGS D pia.bongo hii kikubwa usipate kazi halmashauri tuu huko ni mwendo wa chai mandazi deili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapo kwanza nchekeTGS D ni laki 7.1
Ukisikia kazi yako mishahara yake ni TGS jua hapo ni njaa
Usiwaze mkuu kuwa mpole, tusubirie pdfWadau swala la status ntaleta mrejesho maana kwangu imebadilika from SELECTED FOR ORAL to NOT SELECTED FOR Oral. Kama ntakosa means kweli. Na kuna jamaa angu yeye still ipo SELECTED FOR ORAL lakini ya rangi Nyekundu. Hapa ndipo hawa jamaa wa Sekretarieti ya Ajira ndipo wanapotuvuruga
NB. Kwenye Written mimi ndio nliongoza na huyo jamaa yangu alikuwa wa Mwisho katika tuliokuwa Selected.
nafahamu mkuu,kumbuka NIRC wapo chini ya Wizara wana irrigation projects ,gross lakisaba . ila allowances ndizo zitakufanya uishi townTGS D ni laki 7.1
Ukisikia kazi yako mishahara yake ni TGS jua hapo ni njaa
Duuuu, week moja tayari wameshaanza kuchezea status za watu. Kweli huko utumishi sasahv wameongeza speedWeek hivi