HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ujue we ni mtu wa pili humu,status kuchange kwa mda mfup sana,anyways me nakushaur sala sana Mungu anakuaga na miujiza yake isiyoelezeka. Just keep praying for positive results.
Huyu jamaa ni mzoefu tu humu amekuja kutuzingua tu..
aweke picha kama vip.. kama haweki aamshe kabisa hatuki waongo humu
😂
 
Aiseee mm nlijibj maswal yote,hadi nisoyoyajua kuna mda nkawa nafkria points mpaka madam akawa anasema umebakiza dkk chache try to be fast. Af sasa najib kwa kujiamin[emoji1787][emoji1787]moyon najua kipengele hiki sjakisoma kbsa.
Namuomba Mungu anitendee maajabu nifaulu regardless ya nlichojibu.
Sasa katika hiyo ya kuambiwa, "umebakiza dakika chache, try to be fast" panelist mwingine hakupi hiyo nafasi, ukiwa unafikiria, anakwambia tu, "we know what you mean, another qn" ndo imetoka hiyo.
 
Back
Top Bottom