HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Jamani kazi ni hizi hizi na mishahara haijawahi kutosha duniani kote hata kama utalipwa Mil5 sasa hivi..

Niko kwenye Wakala moja ya Serikali ingawaje hapa sisi kazi zetu ni za mikataba na tunarenew kila baada ya miaka miwili..

Mshahara na marupurupu ya hapa na pale si haba ingawaje mara ya kwanza ukipewa ile contract inaona kazi si ndo hii, lakini unapoanza kulipwa ule mshahara utaona kuwa hauwezi kutosha kwa maisha ya sasa halafu mbaya zaidi kwa Familia zetu hizi Extended family na ikiwa ww ndo atleast umetoboa huwezi kuishi kwa mshahara..

Kikubwa ndugu zangu Mungu akijaalia mpatapo mrija wa Asali pia ni muhimu kuzingatia namna ya kujiongezea kipato kwa sababu pia maandiko yanasema "Binadamu hatoishi kwa mkate tu"..

Naamin Mwenyezi Mungu kampangia kila mtu wapi atapata mrija wake wa asali, haiwezekani wote tukaenda sehemu moja hivyo basi hata kama utapangiwa Halmashauri kamwe usije ukakosa kwenda kuna watu wanafanya mambo makubwa na huwezi kudhani anafanya kazi halmashauri.
umenijibu vyema mkuu
 
Cha msingi ni kutoacha kuomba hata kama kazi ni ya miezi mitatu! Huwezi jua na bahati nzuri mm nina mifano hai.

Kuna mwana yuko WMA na mikataba yao ni ya mwaka mmoja yy yuko border ila sitosema ni border gani ila yuko njema unaweza dhani ana miaka 10 kazini[emoji28]
Dah! Mungu atusaidie tupate nafasi na Sisi aisee mambo ni magumu mno kitaani
 
Ahaaa kumbe, hapo nimepata mwanga kumbe hakuna tofauti sanaa na atakayepangwa hapo TRA au TAWIRI?[emoji4]
Plus wakipata mission za kwenda kulinda Amani huko nchi zingine ukibahatika kurudi salama basi unaweza kuta umetengeneza kibunda cha maana maana kule ni dollary tu
 
Nadhani ni 1.2M kama sijakosea tusubirie wajuvi wengine waje. Kuna siku niliona mtu ka-post salary scale ya Custom Officer II wa TRA kamzidi T. A kwa gap kubwa hadi nikashangaa.. Subiri waje
Duuuh hapo kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, yaluobakia ni kujiongeza provided kwamba wote mnakopesheka[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom