HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wadau naomba kuuliza
Nilifanya oral interview ya jkci placement zimetoka sipo kwenye pdf
je yawezekana jina liwa limebakia kwenye database ?mana status inasoma selected for oral interview
 
Wadau naomba kuuliza
Nilifanya oral interview ya jkci placement zimetoka sipo kwenye pdf
je yawezekana jina liwa limebakia kwenye database ?mana status inasoma selected for oral interview
Kwani uspopangiwa kazi....na ukawa haupo kwenye database yao status inabadilika ???
Mm nami ndo nataka kueleweshwa hapo

Au inabakigi hvyo kwamba uliwah fanya oral
 
Kwani uspopangiwa kazi....na ukawa haupo kwenye database yao status inabadilika ???
Mm nami ndo nataka kueleweshwa hapo

Au inabakigi hvyo kwamba uliwah fanya oral
Ukifaulu oral inabaki hivyo hivyo "SELECTED FOR Oral" hata kama muda wako wa kukaa database umepita.

Hii ni kwenye App
 
Sasa mm nachookuuliza ni hyo not selected for oral interview ilikuwa baada ya oral interview ndo ukaandikiwa hvyo??
Yaaan mfano ile umefanya written status inakuwa selected for oral interview
Then baada ya hapo wakishapata wanaowahtaj ndo inakuwa not selected for oral interview??? Kuashiria kwamba ndo shughul imeishia hapo?
Mkuu mbona jibu la swali lako ndo maelezo ya jamaa hapo juu.
 
Sasa mm nachookuuliza ni hyo not selected for oral interview ilikuwa baada ya oral interview ndo ukaandikiwa hvyo??
Yaaan mfano ile umefanya written status inakuwa selected for oral interview
Then baada ya hapo wakishapata wanaowahtaj ndo inakuwa not selected for oral interview??? Kuashiria kwamba ndo shughul imeishia hapo?
Mtu akiuliza swali kama ilo ni obvious kafanya oral
 
Hakuna sehemu status zimefafanuliwa ila watu wengi tunaamini ikiwa status yako itaendelea kusoma SELECTED FOR oral baada ya kufanya Oral interview means umefaulu interview na kuna mawili either upate placement au uwe reserve kwenye Database.....ila ukiwa na NOT SELECTED FOR Oral means haukufaulu Oral interview, means hujapata placement na jina lako halitaingia kwenye database ya usaili huo
 
Amemshukuru Mungu wake maana huyajui aliyoyapitia kingine maisha ni safari sio wote walio hizo taasisi ndio wana maisha peke yao kuna watu ni walimu na wana pesa ndefu kuliko watu walio kwenye hizo taasisi, kama unafanya kazi bila side hustle usitegemee utafikia mafanikio ya juu labda uwe corrupted servant.
Safari ya maisha ya mtu anaijua Mungu mkuu. Nina kila sababu ya kufurahia. Hizo nafasi ambazo wewe unaziona za kawaida ni life changing opportunities kwa wengine.

Watu wote hatuwezi kuajiriwa kwenye hizo taasisi ulizosema...wengine lazima wafanye kazi kwingine pia.
Kaka kwanza hakuna wakili wa serikali mwenye njaa ninawajua kapige kazi .....
 
Mimi sikua muumini wa kufatilia status, baada ya kutoka majina ya walioitwa kazini kwa mamlaka ya watiza ushuru, ikabidi nidownload app, kuchek nilikua na hiyo Not selected for ... Lakini nilijua wapi nilizingua.
Duuuu, lakini tusubirie pdf huwezi jua hata wewe ukaja ukashangazwa.
 
Hakuna sehemu status zimefafanuliwa ila watu wengi tunaamini ikiwa status yako itaendelea kusoma SELECTED FOR oral baada ya kufanya Oral interview means umefaulu interview na kuna mawili either upate placement au uwe reserve kwenye Database.....ila ukiwa na NOT SELECTED FOR Oral means haukufaulu Oral interview, means hujapata placement na jina lako halitaingia kwenye database ya usaili huo
Na kama status ikiwa shortlisted na ushafanya oral tyr na nafasi umekosa apo inakuaje mkuu
 
Mwanzilishi wa huu uzi hakutegemea kama ungekua viral namna hii,tumeukuta tutauacha tutarudi kuuchungulia huu uzi
JF washawahi kuupromote huu uzi
1286723343.jpg
 
Back
Top Bottom