HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ni vile tu hajasema na hatosema alivokabiliana na panel, hiyo ngoma imeshaisha naamini akiwa muungwana atajua ni wapi hakukava vema wakati anajiandaa na hakujib vema katika panel
Kuna watu humu walikua na not selected na pdf ikaja wamo ,msijisahaulishe.
Na hiyo ndo sabbu wote tukakubaliana status hazna maana tena.
Two people,same status ila mmoja yumo mwingine hayumo,hvo and the likes,so unaeza ona hapo how meaningless status is.
 
Huyu yeye kanotice not selected pdf lishatoka,so hapo si ni sahh kabisa.
But pdf haijatoka useme not selected ni kufeli si sahihi mpaka pdf litoke ndo uhakika
Unaweza ukasema hivo, naamini hata ningechek kabla ya pdf ningekuta iko vile, nafikiri mnakumbuka mabishano yaliyokua yanaendelea kipindi kile kabla ya pdf kutoka
 
Bt recently system or the IT guy amekua akitemper sana na hzi status kama mnakumbuka ndomana tukaja conclude kua KWA SASA hazina maana,but before yes they meant something.
 
Hapo ni sawa kwa kua pdf ilitoka,lakini so long as pdf yake haijatoka bado hawez jua kafaulu or not regardless of status inasemaje.
wakat mwingine ni bora ku face ukweli ata kama unauma, mi nazani aelezwe ukweli kuwa pdf ndo msema kweli, lakini pia amuombe mungu amsaidie atoke kwa mkeka ila ukweli ubaki palepale kuwa hakuna aliewahi kupata kazi akawa na ""NOT"" kwenye app. Wengi washashuhudia humu ila ajue ukweli mtu wa design hio hakuwai tokea, ili aongeze nguvu kwenye mambo mengine na kupunguza expectation kwenye io post japo asubir pdf ku confirm.
 
Huo ndio ukweli, humu wengi hupenda kusikia maneno yanayowapa faraja katika situation zao, hawataki kabisa kusikia ukweli katika uhalisia.
 
wakat mwingine ni bora ku face ukweli ata kama unauma, mi nazani aelezwe ukweli kuwa pdf ndo msema kweli, lakini pia amuombe mungu amsaidie atoke kwa mkeka ila ukweli ubaki palepale kuwa hakuna aliewahi kupata kazi akawa na ""NOT"" kwenye app. Wengi washashuhudia humu ila ajue ukweli mtu wa design hio hakuwai tokea, ili aongeze nguvu kwenye mambo mengine na kupunguza expectation kwenye io post japo asubir pdf ku confirm.
Recently mmesema hua znabadlka badlka sana sa what if baadae ikambadlikia na kua selected,itamaanisha kapita?
Hiyo kubadlka badlka ni moja ya sababu watu tunashndwa kuziamin status
 
Ki ukweli jaman mm ni member ambaye kila alieshuhudia alipata kaz status yake humu nimepitia comment zao, ata ambazo before sikua kwenye uu uzii, ila sikuona mtu wa design io, ila shuhuda za waliokosa zipo za kutosha.
 
Kusubiri PDF tu
Lazima tukubali kuwa, ukiwa na selected for ... Baada ya oral, umefaulu kwa maana umefikia minimum requirement katika usail husika, hapa unaweza ukapata kazi au ukakosa itategemea uko nafasi ya ngapi kulingana na alama ambazo hatuzijui.

Lakini, ukiwa na Not selected for... Hapo ni wazi hukifika minimum marks required,
 
Recently mmesema hua znabadlka badlka sana sa what if baadae ikambadlikia na kua selected,itamaanisha kapita?
Hiyo kubadlka badlka ni moja ya sababu watu tunashndwa kuziamin status
waliopata kazi hakuna hata mmoja ataekwambia ilibadilika in negative way.
 
Back
Top Bottom