Heaven kama heaven
JF-Expert Member
- Nov 27, 2021
- 457
- 799
Ukiweka doc ya serikali(barua) hadharani utakuwa umekwisha kabla hujaanza.Itoshe kusema hapa kuwa umepata kazi lkn sio kuanika karatasi yenye nembo JMT ambayo haikukusudiwa iwe publicMimi sipo kwenye hizi taasisi ukitoka wangu nitawawekea Hadi ushaidi wa barua hapa😁😁