mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,603
- 4,190
Hatari sana Mzee wa ManyoniMwanzilishi wa huu uzi hakutegemea kama ungekua viral namna hii,tumeukuta tutauacha tutarudi kuuchungulia huu uzi
Hatari sana Mzee wa ManyoniMwanzilishi wa huu uzi hakutegemea kama ungekua viral namna hii,tumeukuta tutauacha tutarudi kuuchungulia huu uzi
[emoji23][emoji23][emoji23]aje tu,me niko kamili gadoAlikuja kuchangamsha genge Huyu.....
Kaa nae kwa tahadhari atakuja PM kwako[emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂Ungejifanya mdada tu mkuu tupate uthibitisho[emoji1787][emoji1787]
pdf ikitema utani tag mkuuHatari sana Mzee wa Manyoni
Kesho nadhani Kitu kitatema..Au Alhamisi ila lolote linaweza kutokea maana Jana Usiku sana kitu kilitema....pdf ikitema utani tag mkuu
mfwende mpina .....Ni kweli hata wewe una stress unasahau vingine....Kwasababu unaweza tuma picha mtu akasema ulifeli..nauzuri nikwamba nliscreenshoot ilivokuwa selected na pia baada yakubadilika kwenda not selected
Hamna mda huu unasubiria placement namademu wapi na wapi..sema tu pm amna option yakuficha some details..nikagairi.. baadae nkaona haina umuhimu ngoja placement ziktoka ntakua huru ata kabla ya hio ya Mda/lga
Kwa upande mwingine kama nakuelewa mkuu,hutak negative judgement from people.Kwasababu unaweza tuma picha mtu akasema ulifeli..nauzuri nikwamba nliscreenshoot ilivokuwa selected na pia baada yakubadilika kwenda not selected
Hamna mda huu unasubiria placement namademu wapi na wapi..sema tu pm amna option yakuficha some details..nikagairi.. baadae nkaona haina umuhimu ngoja placement ziktoka ntakua huru ata kabla ya hio ya Mda/lga
Una muda gani mtaani tangu umemaliza chuo?.Hv kwel ukikosa Jina kwny PDF Unaweza Kulia 🤣🤣🤣 Mbn Kwangu sio hivyo
[emoji1787]kumbe tumejiharbia wenyew,inabd sensitive issue tuwege na kachemba ketu ambako psrs hawatasoma mawazo yetuMlivozijadili status IT akabadili null zenu kuwa practical.
Vijana mkaona haitoshi mkaendelea akazitoa practical akazipeleka kwenye oral.
Bado mnaendelea, ayaaaa kitachofata ni .........selected for oral.
Naona huu uzi watakuwa wanapitia sana.Kwa hiyo lolote lile wanalifanyia kazi......Mlivozijadili status IT akabadili null zenu kuwa practical.
Vijana mkaona haitoshi mkaendelea akazitoa practical akazipeleka kwenye oral.
Bado mnaendelea, ayaaaa kitachofata ni .........selected for oral.
Wafanyie kaz na kuwahi kutoa placement sasa sio mpaka mama awashkie vboko huko mxiewNaona huu uzi watakuwa wanapitia sana.Kwa hiyo lolote lile wanalifanyia kazi......
PDF is loading......
Jamani sio kwamba nafatilia status
But ilikuw hivi post ilihitaji watu kumi wakaitwa sita na hiyo post haijawa re advertised
Mimi nilikuwa na not selected mpaku few days ago ilikuwepo hyo not selected
Ghafla jioni hii nmekuta selected for oral[emoji848][emoji848]
Hii inamaanisha nini jamani
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Una muda gani mtaani tangu umemaliza chuo?.
At least umenielewa... let's keeping praying kwenye zile 3 nitokee ata moja na wewe oral yako uliofanya juzi Kati utoboeKwa upande mwingine kama nakuelewa mkuu,hutak negative judgement from people.
Ni kwel ukiweka kuna wataokupa moyo na wengne watakwambia baba jane bye bye.
Wakat we all know kwa sasa status hazimanish chochote.
Have it your way man,lets keep praying for the best.
Amen Amen bossAt least umenielewa... let's keeping praying kwenye zile 3 nitokee ata moja na wewe oral yako uliofanya juzi Kati utoboe
Naona huu uzi watakuwa wanapitia sana.Kwa hiyo lolote lile wanalifanyia kazi......
PDF is loading......
Na kama mnalijua hili basi utumieni uziiii vizur kufikisha changamoto, ila ziwe officially sio/tusiwe kuwa quote mda wote kwenye pointless, adi kwenye nonsense, itawasaidia na kusaidia wanaokuja pia.Naona huu uzi watakuwa wanapitia sana.Kwa hiyo lolote lile wanalifanyia kazi......
PDF is loading......
Changamoto Yao Kubwa ni kuchelewa kutoa Placements,hata wao wenyewe washajua Hilo ni tatizo.Kama Leo hii mtu alifanya Oral 28 November ila mpaka Sasa placement hamna na ni mwezi Wa tatu huu,si tatizo Hilo.Hapo Hapo mtu ameomba Scholarship,na mambo mengine mengi anakuwa anasubiri hatma yake ila ndio hivyo inachelewa...Na kama mnalijua hili basi utumieni uziiii vizur kufikisha changamoto, ila ziwe officially sio/tusiwe kuwa quote mda wote kwenye pointless, adi kwenye nonsense, itawasaidia na kusaidia wanaokuja pia.
Nadhani Kesho watawekewa/ila wiki hili hili lazima akupe Hela yako...Waheshimiwa waliopo kwenye mirija wa asali,
Leo ni Tarehe 21, vipi jambo limefanyika huko kwenye akaunti?
Maana kuna mtu namdai, yupo kwenye mrija ila ananiambia kwenye akaunti yake mambo bado; nataka nijue kama ni kweli au ananizingua.