mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
nakusapoti mkuu hoja yako,hta maswali tu ya oral mtu anajifanya hataki kuweka hapa eti ni public confidentiality, sema ungetusapoti maniga wachache ila hide hio namba yako ya usahiliD
Dout tu sa kuna umuhimu gani wakudanganya?? Nafuraisha genge ili iweje...sema sio fresh tu kuweka vitu public maana kuna watu tu maswali yalioulizwa hawataki kuyataja sembuse kwenye account kabisa