Stelingi
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 703
- 1,928
Sio sisi viumbe vyake atuinue wote kwenye post moja😄😄😄[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu maombi siwez acha kabisa,written naamin nlifaulu kwa maomb tu maana nlichokifaya najua mm na Mungu wangu.
Namuomba Mungu wangu aniinue tena kwa mara nyingine mie kiumbe chake.