Wkingz
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 487
- 1,220
Kuchelewa kweli ni changamoto, week iliopita na vile vikao na plus mama nae ujumbe wake, na imani mambo mazur yapo njiani.Changamoto Yao Kubwa ni kuchelewa kutoa Placements,hata wao wenyewe washajua Hilo ni tatizo.Kama Leo hii mtu alifanya Oral 28 November ila mpaka Sasa placement hamna na ni mwezi Wa tatu huu,si tatizo Hilo.Hapo Hapo mtu ameomba Scholarship,na mambo mengine mengi anakuwa anasubiri hatma yake ila ndio hivyo inachelewa...
Sekretarieti ya Ajira