HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wana mzigo mzito na wanafuata miongozo yao. Hatua kwa hatua, mmoja akikosekana kwenye hatua ambayo anatakiwa kuitekeleza, jambo lazima likwame hadi atakapokuja. Najaribu kuwaza hivi
Wewe ulikaa miezi mingapi mpaka kuitwa?..

Maana Sisi wengine Toka November 28/2022 hadi Sasa bila bila......
 
Halaf inakuwaje walofanya usaili wa oral mfano Jan na Feb mwanzoni mwa mwaka huu washaitwa kazin halaf wale wa Nov mwaka jana...bado wapo tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nchi ngumu hii....
 
Oral tulifanya tarehe 7 November, 2022. Placement ilitoka tarehe 9 January, 2023.

Ebu piga timeframe hapo...(miezi 2 hivi)
Aaahh kumbe hiyo ilikuwa muda mfupi kidogo.
Oral tarehe 28/11/2022 ila mpaka Sasa PDF la placement Bado .....
Na matarajio yetu ni mwezi huu....
 
Mm nmejiwekea 6 months expectations,so sina matarajio makubwa sana ya pdf langu kutoka anytime soon.
Nyinyi LGA &MDA inaweza fika mpaka miezi nane, maana waanze kupanga barua kwa kulingana na kila halmashauri, waje wapigizane kelele na hazina kama fungu lipo kwa waajiriwa wapya, miezi nane michache, miezi kumi au kumi na mbili. 🤪🤪🤪
 
Nyinyi LGA &MDA inaweza fika mpaka miezi nane, maana waanze kupanga barua kwa kulingana na kila halmashauri, waje wapigizane kelele na hazina kama fungu lipo kwa waajiriwa wapya, miezi nane michache, miezi kumi au kumi na mbili. [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sikupingi mkuu,mana written tu ilichukua 8 months
 
Nyinyi LGA &MDA inaweza fika mpaka miezi nane, maana waanze kupanga barua kwa kulingana na kila halmashauri, waje wapigizane kelele na hazina kama fungu lipo kwa waajiriwa wapya, miezi nane michache, miezi kumi au kumi na mbili. [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Ndo kama sisi, hawana ata mpango[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom