Bambalaga01
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 304
- 646
Za manyoni mkuumkuuu
Za manyoni mkuumkuuu
Hongera sana mkuu.Aiseh namshukuru Mungu kwa kupata nafasi hapo NPS....placement ya awali iliyotoka January hapo hapo NPS sikuwemo, nikavunjika sana moyo.
Basi nikapiga moyo konde nikijua kuwa haikuwa riziki...Leo naona nimo miongoni mwa waliomo kwenye mkeka. Sina la kusema. Njia za Mwenyezi-Mungu hazichunguziki.
Huyu hakuombaga hizi za NPSNaamini mwanasheria Maryjuan yumo kwenye huu mkeka 👊
Hapo ni wanasheria mzee kuna waliotoka database maana hao sio kwmnba wote walifnya NPSHuyu hakuombaga hizi za NPS
NPS ilitoa nafasi ngp?na mpka sasa washaajiri wangapi?naona kama idadi inazidi kama sjakosea kuna mkeka ulitoka pia walichukuliwa wengHapo ni wanasheria mzee kuna waliotoka database maana hao sio kwmnba wote walifnya NPS
Kikubwa dua mrija wa asali ukufikie ngoja nikaunge maji nikirudi labda pdf litakuwa tayaliTuombeane kaka wote tulambe Asali,tushapambana na hizi vita sana.Mungu atusaidie wapambanaji wote kaka.
- Unashangilia Sana, Uwakili wa serikali ni kama Ualimu tu, tofauti ni ndogo Sana, angalau ungekuwa umepata Kazi EWURA,LATRA,TRA,TANAPA,TCRA,eGAAiseh namshukuru Mungu kwa kupata nafasi hapo NPS....placement ya awali iliyotoka January hapo hapo NPS sikuwemo, nikavunjika sana moyo.
Basi nikapiga moyo konde nikijua kuwa haikuwa riziki...Leo naona nimo miongoni mwa waliomo kwenye mkeka. Sina la kusema. Njia za Mwenyezi-Mungu hazichunguziki.
Sasa ulitaka anune mkuu?ni haki yake kufurahi kupata ajira- Unashangilia Sana, Uwakili wa serikali ni kama Ualimu tu, tofauti ni ndogo Sana, angalau ungekuwa umepata Kazi EWURA,LATRA,TRA,TANAPA,TCRA,eGA
-
Mkuu inaonesha wewe una kazi maalum ya uhakika, kuna jobless hajui kesho aamkie wapi. Ualimu wenyewe siku hizi mtu akipata anainua mikono juu kumshukuru Mungu.- Unashangilia Sana, Uwakili wa serikali ni kama Ualimu tu, tofauti ni ndogo Sana, angalau ungekuwa umepata Kazi EWURA,LATRA,TRA,TANAPA,TCRA,eGA
-
HongeraAiseh namshukuru Mungu kwa kupata nafasi hapo NPS....placement ya awali iliyotoka January hapo hapo NPS sikuwemo, nikavunjika sana moyo.
Basi nikapiga moyo konde nikijua kuwa haikuwa riziki...Leo naona nimo miongoni mwa waliomo kwenye mkeka. Sina la kusema. Njia za Mwenyezi-Mungu hazichunguziki.
Sawa atakuja kututhibitishiaHapo ni wanasheria mzee kuna waliotoka database maana hao sio kwmnba wote walifnya NPS
Kanzidata sio 🤣Leo kuna harufu ya PDF la taasisi mbalimbali za umma. NIRC wasubiri kidogo.
Hongera Sana,ukawe mtumishi mwema.Mungu ni mwema siku zote.Kukata tamaa ni mwiko.Aiseh namshukuru Mungu kwa kupata nafasi hapo NPS....placement ya awali iliyotoka January hapo hapo NPS sikuwemo, nikavunjika sana moyo.
Basi nikapiga moyo konde nikijua kuwa haikuwa riziki...Leo naona nimo miongoni mwa waliomo kwenye mkeka. Sina la kusema. Njia za Mwenyezi-Mungu hazichunguziki.
Hongera sana.Aiseh namshukuru Mungu kwa kupata nafasi hapo NPS....placement ya awali iliyotoka January hapo hapo NPS sikuwemo, nikavunjika sana moyo.
Basi nikapiga moyo konde nikijua kuwa haikuwa riziki...Leo naona nimo miongoni mwa waliomo kwenye mkeka. Sina la kusema. Njia za Mwenyezi-Mungu hazichunguziki.
Amemshukuru Mungu wake maana huyajui aliyoyapitia kingine maisha ni safari sio wote walio hizo taasisi ndio wana maisha peke yao kuna watu ni walimu na wana pesa ndefu kuliko watu walio kwenye hizo taasisi, kama unafanya kazi bila side hustle usitegemee utafikia mafanikio ya juu labda uwe corrupted servant.- Unashangilia Sana, Uwakili wa serikali ni kama Ualimu tu, tofauti ni ndogo Sana, angalau ungekuwa umepata Kazi EWURA,LATRA,TRA,TANAPA,TCRA,eGA
-
Kweli mwamba.Amemshukuru Mungu wake maana huyajui aliyoyapitia kingine maisha ni safari sio wote walio hizo taasisi ndio wana maisha peke yao kuna watu ni walimu na wana pesa ndefu kuliko watu walio kwenye hizo taasisi, kama unafanya kazi bila side hustle usitegemee utafikia mafanikio ya juu labda uwe corrupted servant.
Yote kheri- Unashangilia Sana, Uwakili wa serikali ni kama Ualimu tu, tofauti ni ndogo Sana, angalau ungekuwa umepata Kazi EWURA,LATRA,TRA,TANAPA,TCRA,eGA
-