HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wewe ulipapata mrija ocean road ukaamua kubadili na id ,Acha mambo yako ,hebu rudisha Id yako ya zamani , 😃😃😃
Hongereni mliopata gap la ajira ,ila msitukimbie jobless wenzenu ,endeleeni kuwemo humu na kuchangia mada kuinspire wengine , waliokosa mapambano yaendelee
kwa wale ambao hawajapata

kumbuka """"
sometimes you may have to fight a battle more than once to win it. So na imani mtakuja mkiwa strong enough next time. Kwa mliolamba asali hongereni sana msichoke kututembelea hapa na kuwapa watu moyo wanaopambana kama mlivokuwa nyie once.
 
Hii nchi uwajibikaji mdogo Sana baada ya Rais kusema ndo wanaapload mkeka. Tutapata maendeleo kwa muda mrefu.
Amewapiga mkwala kama unakwamisha waondolewe na taasis aliyozungumzia wameapload haraka kuna ukilitiba.
Huo ndio upuuz sasa , inaonekana mikeka walishatengeneza ,sasa nini kilikuwa kinawakwamisha kuupload ? , Haina maana watu kufanya interview halafu wanasubiri placement zaidi ya mwezi mmoja ,huo ni ujinga kabisa .
Hili suala Sekretarieti ya ajira waliangalie ,kuna watu wamefanya usahili tangia mwaka jana ,mpaka leo hamna kitu ,hii inakuwa na maana gani sasa ? ,kama taasisi haina uhitaji si wapige kimya,? ,maana mtu kusaga nauli ,muda na efforts kufanya sahili huko Dodoma halafu unasubiri kwa miezi placement ,duh
 
November, December naimani Placements zao mwezi huu zote zitatoka.
 
Back
Top Bottom