mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
status app ilisomaje mkuu?Jmn nashukuruni Wana JF wote katika kutiana moyo kwenye kipind chote japo siyo Kila comment nilikuwa na jibu lakini nilikuwa naonesha ushirikiano ata kwa Ku like, Ila ningependa kutanguliza shukran zangu za dhati kwa Mungu kunijalia kupata nafasi kweny hizi placements zilizotoka leo za TRA.. tutakuwa pamoja wadau, Mungu awabariki sana