HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ahsante sana mkuu.

Tupo tuna warm up hapa, mashambulizi yanaandaliwa na PSRS kutukanda kama kawaida yao.

Kaubaridi jepesi kameanza kuwarahisishia PSRS kazi hapa[emoji3][emoji3][emoji3]
Ilikuwa ni live coverage.

Bonyeza hiyo post then shuka kwenye comments utaona jinsi watu walivyokuwa wananitia moyo humu.

Msikate tamaa
 
Kiukweli sisi tulifanya interview zaidi ya watu 600 written wakiwa wanahitaji 26 ila tulibahatika kufika oral 59 nina imani walioitwa walikua bora pia na wanastahili ngoja tusubiri nafasi zetu zitakazopatikana kwingine ambako mpaka sasa hatufahamu.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Naamini upo kwenye database, Mungu akakupe Kibali kwenye taasisi uipendayo.
 
[emoji1787][emoji1787] Safari inaanza Upya tena? Hongeren Kwa Mliobahatika kupata Ajira TRA Mwenyezi Mungu akawasimamie mkawe watumishi wema!.

Nilikuwa kwny Orodha ya wasubiri PDF lkn Kwa Idadi iliyoitwa nimeona nisawa kutokuwepo uwenda Nyakati yng bado haijafika.

Ushuhuda wa Status.
Nilipitia change zote mpk Mwisho ilikuwa Ikisoma SELECTED for Practical Interview
daah mbon unatukatisha tamaa sie wa selected for practical interview
 
God is Good. Selected for practical nami nimepata
Ila kuna rafiki yangu nae alikuwa selected for practical hajapata

Afisa ulifanya Written ngapi kabla ya Oral yako ya kwanza.

Hahahahaha! Swali la kichokozi, vipi picha uliyoweka kwenye avatar bado itaendelea kubaki hiyo hiyo hata baada ya kuwa afisa?
 
Ngoma ilikua ngumu, kwenda oral ilihusisha watu 700, nafasi 187 kwa hao Tax Management Officer, kwahiyo, wachache ilipasa waende, wengi kusubiri.
Usivunjike moyo mkuu, riziki yako ipo...Endelea kupambana.
 
1. Tell us about your life history, schools and College
2. Objectives of perfomance Audit
3. Characteristics of good quality audit report

Haya ndio maswali ya general anayoweza kuulizwa kila mtu wa Audit.

Mengine kama 3 hivi yalihusu kqda yangu ya Afya kwenye kudeal na ishu za hospital.

Halafu wameniuliza maswali zaidi ya 5 aisee, maana kila nikimaliza kujibu wananipa lingine tena.

Muda wa mkando wote walinitengea dk 15
Huu ndio ulikuwa mrejesho wa maswali nilioulizwa.

Nimeamua nifukue hizi comments za ngu baada ya kuona mzozo kuhusu mwenzetu aliyesema hawezi kutaja maswali kwa sababu ya privacy yake.

Tusichukiane wala kuzozana, tumove on.
 
Jmn nashukuruni Wana JF wote katika kutiana moyo kwenye kipind chote japo siyo Kila comment nilikuwa na jibu lakini nilikuwa naonesha ushirikiano ata kwa Ku like, Ila ningependa kutanguliza shukran zangu za dhati kwa Mungu kunijalia kupata nafasi kweny hizi placements zilizotoka leo za TRA.. tutakuwa pamoja wadau, Mungu awabariki sana
 
Back
Top Bottom