DINHO
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 882
- 1,761
Njoo kiwanjani South Afrika, Bongo wachawi wengi.Najikaza kua niko strong ila kiukweli this is more than pain kwa yanayonisibu right now.
Nina madeni chungu nzima na hata sikopesheki.
Wife mwezi ujao anajifungua sina pesa .
TRA lililokua tumaini langu nimedondokea pua .
Sijui what next.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Magonjwa, kifafa cha mimba, utapiamlo, kurogana, kuchukuliana nyota nk.