HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
#HONGERENI KWA MLIOITWA KWENYE UTUMISHI WA UMMA#
mkawe watumishi wenye maadili mema na uadilifu
Kwa mliokosa msife moyo wakati wa mungu siku zote huwa sahihi zaidi

N.B JUMANNE Tuipe Heshima yake [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna watu Jana niliwaambia Leo Kuna placement wakabisha😂😂😂😂🖐️🖐️🖐️
 
🤣🤣 Safari inaanza Upya tena? Hongeren Kwa Mliobahatika kupata Ajira TRA Mwenyezi Mungu akawasimamie mkawe watumishi wema!.

Nilikuwa kwny Orodha ya wasubiri PDF lkn Kwa Idadi iliyoitwa nimeona nisawa kutokuwepo uwenda Nyakati yng bado haijafika.

Ushuhuda wa Status.
Nilipitia change zote mpk Mwisho ilikuwa Ikisoma SELECTED for Practical Interview
 
Kwani idadi ya walioitwa haija tally na idadi iliyotangzwa kwenye tangazo la ajira?
 
Back
Top Bottom