Huo ndio upuuz sasa , inaonekana mikeka walishatengeneza ,sasa nini kilikuwa kinawakwamisha kuupload ? , Haina maana watu kufanya interview halafu wanasubiri placement zaidi ya mwezi mmoja ,huo ni ujinga kabisa .
Hili suala Sekretarieti ya ajira waliangalie ,kuna watu wamefanya usahili tangia mwaka jana ,mpaka leo hamna kitu ,hii inakuwa na maana gani sasa ? ,kama taasisi haina uhitaji si wapige kimya,? ,maana mtu kusaga nauli ,muda na efforts kufanya sahili huko Dodoma halafu unasubiri kwa miezi placement ,duh