TUnique
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 287
- 665
wewe vipi unataka kuturudisha nyuma. nahisi una NOT SELECTED FOR null . ebu tuma screenshot ya status yakoReplacement zinakaa nusu mwaka huu si uzwazwa.
Turudi kama zamani TU Kila mtu a fight kivyake
wewe vipi unataka kuturudisha nyuma. nahisi una NOT SELECTED FOR null . ebu tuma screenshot ya status yakoReplacement zinakaa nusu mwaka huu si uzwazwa.
Turudi kama zamani TU Kila mtu a fight kivyake
TRA tayari
haaa wkingz is typingwewe vipi unataka kuturudisha nyuma. nahisi una NOT SELECTED FOR null . ebu tuma screenshot ya status yako
We Mkandaji vp mbona unakataa sadakalawe, watoto wa mjini walambe asaliwewe vipi unataka kuturudisha nyuma. nahisi una NOT SELECTED FOR null . ebu tuma screenshot ya status yako
Mkuu Icho kitendo TU Cha kUchukua watu kwenye kazidata bado utumishi ni issues ya miezi kadhaa,Mi naona sawa TRA na mashirika mengne sawa wasifate vibali ila wakitaka wafanyakazi wakawachukue PSRS soon after interview wanapewa majina ya vijana wao waka deal nao wawo wenyewe lin wangie kazini ni juu yao, zoez litaenda fasta
Tupeni mrejesho TRA mkuu
wiki ijayo hapo mapema sanaTupeni mrejesho TRA mkuu
Mm naweza kuwa nimemuelewa mama tofaut hajamanisha PSRS wasisimamie ajira ila kwa baadhi ya mashirika yanayo kuwa tayar na fedha za kulipa mishahara wajiriwa wapya wapewe vibali vya haraka vya kuajir ( sikiliza hapo mwishoni) mwa io video, na kupunguza mlolongo wa ajira.Mkuu Icho kitendo TU Cha kUchukua watu kwenye kazidata bado utumishi ni issues ya miezi kadhaa,
Dawa apa TRA ,TANESCO, TANROAD ,tpa,TEMESA, DAWASCO, NIDA etc waajiri wenyewe watu wacheke meno 32 njee😁
KwANI ajira ni kwa ajili ya watu masikini peke Yao weevp Mzee, na mbona kipindi Cha jk masikini na matajiri wote walifurahia maisha hapakuwapo na vilio vya ajira kama sasawewe utakua una connection inaonekata umekandwa sana na psrs , sasa unataka kutumia connection kulamba asali. utumishi waendelee kusimamia ajira ili watoto wamaskini ambao hawana connection waweze pata ajira.
Mpaka wasemwe ndio wanastuka usingiziniMkeka tayari
Hongera mkuuMama katisha. Nishalamba asali
Hongera sana mkuuMama katisha. Nishalamba asali