Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 2,003
- 3,611
Hongera sanaMama katisha. Nishalamba asali
Hongera sanaMama katisha. Nishalamba asali
TBTHuu mjadala wa status tuliuhitimisha naona mnauleta kwa kasi ya mwanga.
Mimi nikitoka kwenye battle la kesho, sitahangaika na status, nitaiacha ijigeuze itakavyo, PDF(placement) ndio kitakuwa kitu pekee cha kukitolea macho
Pole kaka usikate tamaa, mapambano lazima yaendelee.Very disappointed Yani..nimegongwa sugunyo Moja hatari na Hawa wazee wa mapato....Naamini Kuna Bora zaidi Mungu ameniandalia, Tusikate tamaa, Tumshukuru Mungu....(status not selected)
Hii nchi uwajibikaji mdogo Sana baada ya Rais kusema ndo wanaapload mkeka. Tutapata maendeleo kwa muda mrefu.
Amewapiga mkwala kama unakwamisha waondolewe na taasis aliyozungumzia wameapload haraka kuna ukilitiba.
Kutishana au?
Pole sana mkuu...Daah, kwa wingi huu mtu usipojikuta utajikuta tuu unajisikia vibaya sana.Kiukweli nimekandwa na namshukuru Mungu nafsi ina Amani japo sikupambana kukosa naamini bado nina nafasi wapambanaji tusikate tamaa bado nafasi tunayo one day yes.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Usikate tamaa kaka mkubwa, kikubwa ni UHAI ambao utakufanya uendelee kupambania kesho yakoVery disappointed Yani..nimegongwa sugunyo Moja hatari na Hawa wazee wa mapato....Naamini Kuna Bora zaidi Mungu ameniandalia, Tusikate tamaa, Tumshukuru Mungu....(status not selected)
Thank you champ, na ndio matamanio yangu kutumikia vyombo vya ulinzi hapa nchini.
Tutegemee PDF nyingi Sasa.Kwani macho Sasa yapo kwao baada ya malalamiko ya muda mrefu vijana kucheleweshewa placements....Kabisa.. naona baada ya maneno yake tu hata lisaa kimoja halikuiah mkeka umetoka, bila shaka mpaka hii week inaisha wataweka pdf zote
Congratulations mkuu.Selected for practical interview... nami nimepata
Congratulations mkuu.God is Good. Selected for practical nami nimepata
Ila kuna rafiki yangu nae alikuwa selected for practical hajapata
POle sana....ushuhuda mzuriVery disappointed Yani..nimegongwa sugunyo Moja hatari na Hawa wazee wa mapato....Naamini Kuna Bora zaidi Mungu ameniandalia, Tusikate tamaa, Tumshukuru Mungu....(status not selected)
Kiukweli sisi tulifanya interview zaidi ya watu 600 written wakiwa wanahitaji 26 ila tulibahatika kufika oral 59 nina imani walioitwa walikua bora pia na wanastahili ngoja tusubiri nafasi zetu zitakazopatikana kwingine ambako mpaka sasa hatufahamu.Pole sana mkuu...Daah, kwa wingi huu mtu usipojikuta utajikuta tuu unajisikia vibaya sana.
Inaonekana wameutoa kwa sababu ya kuwa-pressurized pengine walikuwa hawaratiba nyinginezo ila kwa sababu ya pressure ya nje wameona watoe ili kuondoa makelele. Tusiwalaumu sanaa nimeona kwenye PDF mwishoni hata hakuna ile remarks tuliyoizoea kama kawaida. Inaonekana ni kwa haraka sana.Unawekage mkeka wa January wakati November na December Bado?
Ngoma ilikua ngumu, kwenda oral ilihusisha watu 700, nafasi 187 kwa hao Tax Management Officer, kwahiyo, wachache ilipasa waende, wengi kusubiri.Pole sana mkuu...Daah, kwa wingi huu mtu usipojikuta utajikuta tuu unajisikia vibaya sana.
Siku zote mzee.....Pole kaka usikate tamaa, mapambano lazima yaendelee.
Status not Selected ni Leo au siku zote ilikuwa hivyo??
TBT.Natarajia kushuka swali la "Tell us about yourself" namna hii.
1. Kuhusu mimi
-Jina
-Title/Profession
-Jina la chuo
-Uzoefu(intership, kijiwe), humu nitachomekea viskills vichache
2. Elimu(hapa nitataja bila kuelezea range ya miaka)
-Chuo
-Advance
-Olevel
Any lead please jinsi mnavyoshukaga hili swali.
NB: Nitatumia muda mchache sana kushuka broken ya hili swali
CongratulationsMy first oral interview, my first job. God is so Good