HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
kwa wale ambao hawajapata


kumbuka """"
sometimes you may have to fight a battle more than once to win it. So na imani mtakuja mkiwa strong enough next time. Kwa mliolamba asali hongereni sana msichoke kututembelea hapa na kuwapa watu moyo wanaopambana kama mlivokuwa nyie once.
 
Mkuu shule zinatulemaza sana, kwamba ukiwa wa kwanza wewe ndio wanakuchukua. Ndio maana hata mtu unaweza ukamuuliza interview ilikuaje akakujibu ngumu, au sijamaliza maswali matokea yanakuja amepata 99. Hii tabia mbaya sana. Najua hii platform imeanzishwa kwa ajili ya kusaidia. Ila watu bado wanahisi wako shule, wanasahau kua uku mtaani rafiki wa kweli ni yule mnayesaidiana sio unayemuongoza.
Kunywa hata kasmart Gin Bro nitalipia
 
Back
Top Bottom